Junk Food inasababisha UPUNGUFU WA AKILI

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
utafiti wa hivi karibuni umegundua kwamba walaji wa junk/fast food kwa wingi wanahatarisha afya ya akili, hasa watakapofika 45+yrs. Badala yake SAMAKI, MBOGA na MATUNDA ndo mwendo wa kijanja. Zaidi soma hapa: http://www.bbc.co.uk/news/health-16344228
 
Ni kweli, nchi kamaa japan nasikia mtoto mdogo ni mdogo ni marufuku kula nyama wana-encourage zaidi kitoweo cha samaki na zaidi kichwa cha samaki kwa sababu ya upatikanaji wa aina ya madini sehemu hiyo ya kichwa cha samaki!
Inasekana pia ndiyo sababu ya nchi hiyo kuwa na uchumi mzuri kwa sbb wananci wake wana akili za kutosha hata ivo kuna aina ya samaki, si wote!
 
Aaaahh ndugu unanikumbusha stori moja kuwa kisiwa cha ukerewe kina maprof wa kumwaga kwa sababu ya vichwa vya samaki. Hii ni wakati huyo siyo sasa lakini....
 
Nasikia ngano nayo ni nzuri sana kwa ubongo, ila sijawahi kudhibitisha kitaalamu....
Inadaiwa ni chakula kikubwa sana kwa Waizrael..
Naomba data zaidi wataalamu!!
 
Nasikia pia viazi vitamu (yams/sweet potatoes) vinaongeza sana memory,wataalamu watufahamishe!
 
Back
Top Bottom