Junior kapata mdogo wake

Hebu ipe stori maneno shostitoo.... Unajua ni siku nyingi hujatujuza yaliyotokea na yaliyoendelea tangu kipindi kile mimba ilipokuwa inamtaka baba mtoto...
Hongera zako mwaya...
 
kuna story iliyokuwa inahusiana na huyu mtoto? hebu nipe link...........Hongera Da Sophy
 
Hebu ipe stori maneno shostitoo.... Unajua ni siku nyingi hujatujuza yaliyotokea na yaliyoendelea tangu kipindi kile mimba ilipokuwa inamtaka baba mtoto...
Hongera zako mwaya...
Asante. Umenikumbusha ile ilikuwa ya junior sasa ana mdogo wake kazaliwa mwezi wa 3 tarehe 7.
 
hongera ka kike/kiume; tukatafutie zawadi
Nilitamani wa kike junior apate dadake lakini kwa kudra za Maulana nimempata wa kiume, babake kafurahi nami nimefurahi sana pia. Wajua raha ya mtoto wazazi wote mkimfurahia ndio inazidi.
 
Msinishangae mwenzenu na bandika bandua madokta wameniambia nifanye za fastafasta nisije nikakosa. Sikuwaambia kabla ya junior nilishafanyiwaga operesheni nikatolewa uvimbe. Wakaniambia nikilaza damu inakula kwangu jumla. Sasa hivi mashallah nashukuru Alhamdulillahi.
 
Mungu aliyekupa huyo mtoto Tunamwomba amlinde na kumkuza ktk kweli yake na ulinzi wake Amuinue na kumpatia kila hitaji lakeHONGERA SANA KUTULETEA MJUKUU
 
Msinishangae mwenzenu na bandika bandua madokta wameniambia nifanye za fastafasta nisije nikakosa. Sikuwaambia kabla ya junior nilishafanyiwaga operesheni nikatolewa uvimbe. Wakaniambia nikilaza damu inakula kwangu jumla. Sasa hivi mashallah nashukuru Alhamdulillahi.

hiyo ndio poa,bandika bandua,baadaye unatulia unatafuta ada ya shule huwazi tena mambo ya clinic,nakuunga mkono niko nyuma yako.hongera sana
 
Back
Top Bottom