http://abnrealestates.com/index.php?option=com_content&task=view&id=12&Itemid=29
Hii topic ilinipita...Wakuu kuna mtu ana copy ya Katiba ya TA naona wakati umefika tuanze mkakati wa Uchaguzi Mpya.
Yebo yebo,
Mkuu umenichekesha sana, yaani unaulizia katiba ya TA?
Kumetokea nini toka jana? Usije ukawa unaumwa mkuu au mtu mwingine anatumia username yako. Maandishi yako toka jana ni kama sio wewe.
Kama ndio umeelewa ukweli, basi ni jambo jema, taratibu kile ambacho tulikuwa tunakisema toka mwaka jana kinaanza kueleweka sasa.