Jumuiya ya uamsho yatangazia muhadhara kesho mkubwa sana hapo mbuyuni saa 10

Mtaishia kwenye mihadhara isiyokuwa na mafanikio! Nendeni shule mkajifunze kusoma na kuandika ninyi viuno! Kazi kukumbatia ujinga 2! Mnawapotosha wa2 waache kufanya kazi zao za kimaendleo kwa ajili ya mihadhara ya kipuuzi! Dhubu2ni kukusanyika muangalie jinsi mtakavyo vunjwa vunjwa hyo miguu ninyi vibuyu!
 
372842_232850813481682_1999216503_q.jpg
Status update
By Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
TANGAZO MAALUM.

JUMUIYA YA UAMSHO INATANGAZIA MUHADHARA KESHO MKUBWA SANA ULOKUWA HAUJAWAHI KUTOKEA HAPO MBUYUNI SAA 10 JIONI.
SHIME WAISLAMU SOTE TUHUDHURIE.
SIMBA WETU AMIR FARID JUKWA LITAKUWA LAKE KESHO ISHALLAH.

TANGAZO LA PILI.

UONGOZI WA PAGE HII UNATOA ONYO KALI KWA WALE WOTE WANAOFANYA PAGE HII KAMA NI SEHEMU AU UWANJA WAMATUSI,TUNAOMBWA WAISLAMU WOTE TUCHUNGE MILA NA TAMADUNI ZETU WAISLAMU KUTOKUTUKANA NA KUSHINDANA KWA HOJA.
VILE VILE TUNAOMBA RADHI WAISLAMU KWA KUCHELEWA KUFUTA NA KUWABLOCK WALE WOTE AMBAO WAMEFANYA HILI NI JUKWAA LA MATUSI NA KUIKASHIFU DINI YETU.
HII INATOKANA NA KWA BUSY SANA KATIKA KIPINDI HICHI CHA AMIR KUKAMATWA.
ILA TUNAWAMBIA WALE MAKAFIRI WOTE TUNAANZA KUWA BLOCK NA KUWATOA KATIKA HII GROUP WAKATAFUTE PAGE ZAO ZA KIKAFIRI SIO HII.
ILA KUNA WACHACHE AMBAO WAMENITUMIA MSG WAMESEMA WAO WATAKUWA WANASHINDA KIHOJA SIO MATUSI HAO NITAWACHIWA ISHALLAH M,MUNGU ANAWEZA KUWAONGOA BAADA YA KUWAPA HOJA ZETU SISI WAISLAMU.

TUNAOMBWA WAISLAMU WOTE TUWE WENYE SUBRA KUEPUKA MATUSI.

WABILAHI TAUFIQ
TUACHIWEE TUPUMUWEEE

Chanzo Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook


Pamoja na mkwara na maneno ya kejeli, kuwataka makhafir kuto changia mada hii nakushauri fungua forum yako na uiite ya waislamu na makhafir hawatakiwi, Nina kuhakikishia hawatakuja kama ambavyo hawaiingii misiktini mwenu! Hili ni jukwaa huru, ukija na pumba zako kama hizi, tegemea kupambana na mawazo huru yasiyo ya kibaguzi. Ukikerwa SEPA!!
 
Mie nawashangaaa....FB page ya Kafiri Mark Zuckerberg, kisha ndo mnaitumia....tafuteni social network yenu ya Kigaidi...
Hakika tamko la Jei Wii hawajalisikia hawa.Endeleeni tu.
 
wazanzibar wananichekesha wanapotaka kusema " uamsho" wanasema "muamusho"....wanaposema "people" husema piplo, kiingereza chao kinatia fora, kiswahili pia....
 
Back
Top Bottom