Jumuiya ya Uamsho ya Kiislamu wakusanya saini ya kutaka kura ya maoni juu ya Muungano

Mbona wakati wa Serikali ya Mwalimu haya maneno tulikuwa hatuyasikii, labda niwaulize Jumuiya ya Uamsho kitu - hivi bila Karume kuharakisha harakisha muhungano baada ya mapinduzi unafikili Mwarabu angekubali waswahili watawale Zanzibar? Sultani angetoka uhamishoni na kurudi na majeshi ya kukodisha na nina uhakika Karume asingekuwa na ubavu wa kuyashinda majeshi hayo bila kusaidiwa na Tanzania bara.

Mzee Karume aliona mbali sana, kuja kwake Tanzania bara na kumshawishi Mwalimu waungane mapema iwezekanavyo ilitokana na Karume kuwa na wasi wasi kwamba wangeweza kuvamiwa na majeshi ya Sultani muda wowote, kwa hiyo Salama yake ilikuwa ni kuhungana na Tanganyika. Kwa hiyo Jumuiya ya Uamsho wanao jifanya kupinga muhungano huu wana agenda zao za siri na infact ni uchu wa madaraka tu wakumbuke kwamba bila msaada wa kutoka nje wasingeweza kumung'oa Sultani mawazo yao yako OMANI kwa jamaa zao - kwani Karume alikuwa wapi usiku wa mapinduzi si alikuwa huku Dar-Es-Salaam, mkumbuke kwamba amani mlio nayo sasa hivi inatokana na kuhungana na Tanzania bara; mkijiondoa hamtabaki SALAMA (Mwalimu aliwahi kuwaonya kuhusu hilo lakini naona wengi wenu mnaweka pamba maskioni).

Hivi kwa mawazo yenu mnafikili Tanzania bara inanufahika nini kutoka Zanzibar, kila wakati kulalama lalama tu - chetu chenu, chenu chenu (baadhi yenu mko selfish kupindukia) wengi wenu mko Tanzania bara mnafanya biashara kokote bara bila kubugudhiwa na mtu yeyote-ebu tupe takwini ni Watanzania wangapi kutoka bara wako Zanzibar, je wana uhuru wa kukaa popote huko na kufanya biashara zao bila kuchomewa moto nyumba zao, hamtaki wauze pombe, kwani huko hakuna wakristo au watu ambao hawana dini - mbona amujawahi kuitangazia Dunia kwamba Zanzibar ni Islamic Republic.

Labda nimalizie kwa kusema majority ya Wazanzibar hawana matatizo na muhungano, tatizo liko kwa wachache tu ambao wanaona muhungano unawaletea kiwingu katika kutimiza Agenda zao za siri; na kwa kuwa kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuvumbua mafuta na gesi karibu na Zanzibar basi hata hilo linaweza kuwa limechangia katika kuanzishwa vikundi hivi vya kudai kutengana.
 
kwanini jumuiya za kiislamu ndo zimeshupalia jambo hili?

Wenye akili tu ndo hujiuliza swali hili na wapumbavu tu ndio wanaokubali kila wanalosikia.
Wakifanikiwa kufanikisha hilo, wataitisha maoni ya kuifanya Zanzibar nchi ya Kiislamu ingawa itakuwa ngumu sana maana Pemba watataka Taifa lao kwanza na ule utabiri wa Nyerere utatimia.
 
No one can resist an idea whose time has come ! Jamhuri ya Watu wa Zanzibar - KWANZA !

Chini ya JWZ - KWANZA; Zanzibar itarudisha kila kilicho chake, insha'Allah kuanzia: Polisi yake, usalama, usafiri wa anga, bandari, leseni za viwanda, ushirikiano wa kimataifa, utafiti, takwimu, ushuru wa bidhaa, kodi ya mapato, biashara za nje, simu, posta, elimu ya juu, mafuta na gesi asilia, uraia, uhamiaji, Mahakama ya rufaa, mambo ya nje, mikopo ya nje, sensa ya watu na baraza lake la mitihani.
zan mpya.jpg moja ya mikutano ya wazi ya UAMSHO katika viwanja vya lumumba 26/04/2012.
wazanzibar tumeamka sasa alonuna apasuke haraka kabla hatujarejesha bendera ya zanzibar umoja wa mataifa maana kiti chetu kipo hai hatukujitoa .

WAtu wote duniani wanazipenda nchi zao ila watu wa nchi inayoitwa danganyika hata kulisikia jina la nchi yao hawataki
nchi yao wamewaachia mafisadi waiteketeza.......hukohuko sio zanzibar

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''
 
Nje ya muungano hakuna zanzibar bali Unguja na Pemba!
Apa cha msingi tuuvunje muungano alafu baadae tuikalie kimabavu na twailudisha kama mkoa na sio nchi!Bse hawa wanapata pressure toka Uarabuni wanataka kutuletea magaidi
 
Jamani hawa watu waachwe wapewe wanachotaka maana kwenye video zao tumesikia wakisema wapo tayari kufa kuliko Muungano. Mimi sidhani kama watanganyika tutapata madhara tukiachana na hawa mdebwedo
 
Mimi ni MTZ bara na siko tayari kuona Muungano unavunjika. Sababu ni kwamba ndugu zetu wa Zanzibar hawawezi kudumu kama taifa kwa hata mwezi mmoja bila ya kuchinjana. Naamini kila dini ina mambo yake mazuri. Kutoka kwa Wayahudi kuna usemi kwamba; "Anayeokoa maisha ya mtu mmoja, ameokoa maisha ya binaadamu wote"

Napenda kufikiri kuwa tunawaokoa Wazanzibari dhidhi ya kuchinjana

Acha wachinjane,kwanza waunguja na wapemba wote ni wanafiki wa kutupwa,wanajidai wanataka kuvunja muungano wakati wanategemea Tanganyika kuanzia mbuzi hadi ng'ombe,nafaka mpaka vifaa vyote vya ujenzi na mbao zote, haki naapa tuwakubalieni wajitenge mara moja,wamezidi kuleta chokochoko,na nitahakikisha wapemba wote na wazanzibari walioko kuanzia Bukoba,Mwanza,Arusha,Dar hadi Mtwara na Morogoro wote tutawarudisha kwa kwa mapanga na mishare,wamezidi muno,lazima tuwatie jamba jamba.
Nauliza kwani Wakijitenga tutapungukiwa nini watanganyika wenzangu???????
 
Mvutano kati ya unguja na pemba ni mkubwa sana. Pia pemba na unguja ni nchi mbili tofauti. huko pemba 'uarabu' ndio wenye kutawala na ndio wenye nacho wakati ngozi nyeusi ni wakwezi tu, watu wa chini na wasiokuwa na chochote. wakwezi wanatumika tu kwa kivuli cha uislamu. lakini unguja na pemba watambue kuwa kivuli cha uislamu kitawarubuni wenye ngozi nyausi kurejeshwa kwenye utumwa mambo leo.

tuwakumbushe tu yanayotokea huko mali ambapo watuareg wamechukua eneo la kaskazini bila kujali kama wananchi wengi wa mali (zaidi ya asilimia 99) ni waislamu. mbona huko uislamu siyo hoja? kwa hiyo, wenzetu hawa wasikubali kurubuniwa kwa kivuli cha uislamu kama wanavyoonekana kwenye video za uamusho.

pia wakubaliane na nasaha za Mwalimu Nyerere kwamba bila muungano hakuna zanzibar, kuna pemba na unguja. na hata unguja, uzanzibari na uzanzibara utajitokeza kwa nguvu na kazi mpya kama video za uamusho zinavyodhihirisha. hata somalia ni waislamu asilimia 100. mbona hakuna umoja? watafakari hawa ndugu zetu
 
Uongo mtupu kaka, huna ushahidi kama unao lete.
 
Hapa dawa serikali moja tu kwisha kelele, hapa ipo jamhuri moja ya tanzania
 
Wakuu nawaona leo mmeng'ang'ania hii post na kusiliwaza eti Zanzibar is nothing!

Kama hamna kazi basi mclick hizo ads za google ili tuichangie JF, sio kuenjoy kupost tu
 
mimi nadhani tuache negative thinking kwa wanzanzibar,maana hata karume alisema muungano ni kama koti,likikubana walivua,nadhani sasa muda umefika koti limekuwa dogo baada ya mwenye koti mwili kuongezeka,kwa kuwa wameamuwa kamwe hatuwezi kuwarudisha nyuma la sivyo tutumie nguvu ya ziada lakini tuwe makini sana,kwani kama tunafuatilia vyema habari za muungano zanzibar wao hawautaki kabisaaa,na sio mtu mmoja analiongela hilo,ni karibu wanzibar wote sasa kwa ujumla wao wakiamuwa hatuwezi kuwarudisha nyuma,

cha muhimu hapa ni kuomba muungano huu uvunjike kwa amani
 
Kwa chokochoko izi za wazanzibar ningekuwa na mguu mkubwa haki ningekipiga teke kisiwa chao kikawa mbali nasi hawa mda wote ni chokochoko wameweka mbele pia hawa ni walalamishi sana
na jk huziita choko choko zile kelele cdm wanapodai haki
 
Nje ya muungano hakuna zanzibar bali Unguja na Pemba!
Apa cha msingi tuuvunje muungano alafu baadae tuikalie kimabavu na twailudisha kama mkoa na sio nchi!Bse hawa wanapata pressure toka Uarabuni wanataka kutuletea magaidi

wacha longo longo zako hizo wa Zanzibari ni kitu kimoja tokea enzi hizo hata kabla ya kuungana na Tanganyika na wa zanzibari hawana historia ya kuwa wamewahi kupigana kati ya Unguja na Pemba na ni watu waliochanganya sana asilimia kubwa ya wazanzibari wamechanganya damu kati ya unguja na pemba na mila zao na desturi zao ni moja sio kama sisi huku Tanganyika tumejigawa sana kimakabila na kila kabila lina lugha yake na hadi leo lugha hizo bado zinaongelewa na kufuata utamaduni wao lakini wenzetu wazanzibari wao hawana hizo wanaongea lugha moja na utamaduni wao mmoja bila tofauti yeyote ile sio kama sisi wa tanganyika.

LIST YA MAKABILA YETU YA TANGANYIKA HIYO

Hapa dawa serikali moja tu kwisha kelele, hapa ipo jamhuri moja ya tanzania
WEE UNATAKA KUCHEZEA ILE KITU INAITWA [FONT=arial, sans-serif]THE REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBAR [/FONT]HIYO KITU ONDOA KABISA KATIKA AKILI ALISHINDWA BABA WETU WA TAIFA KUFANYA HIVYO WATAWEZA MAGAMBA:wave:
 
Acha wachinjane,kwanza waunguja na wapemba wote ni wanafiki wa kutupwa,wanajidai wanataka kuvunja muungano wakati wanategemea Tanganyika kuanzia mbuzi hadi ng'ombe,nafaka mpaka vifaa vyote vya ujenzi na mbao zote, haki naapa tuwakubalieni wajitenge mara moja,wamezidi kuleta chokochoko,na nitahakikisha wapemba wote na wazanzibari walioko kuanzia Bukoba,Mwanza,Arusha,Dar hadi Mtwara na Morogoro wote tutawarudisha kwa kwa mapanga na mishare,wamezidi muno,lazima tuwatie jamba jamba.
Nauliza kwani Wakijitenga tutapungukiwa nini watanganyika wenzangu???????
MBONA COMORO,MAURITIUS, SEYCHELLES,WANAISHI VIZURI TU NA WANANUNUA BIDHAA MBALI MBALI KUTOKA NCHI ZA NJE NA HAO NI JIRANI NA ZANZIBAR KATIKA INDIAN OCEAN NA HAWAJAWAHI KUCHINJANA HATA SIKU MOJA.....WACHENI KASUMBA ZENU CHAFU HIZO NA AKILI ZA MAPEPE...WATU HAWATAKI KUWA NA SISI TANGANYIKA HAINA HAJA YA KUWALAZIMISHA TUWAACHE TU NA ZAO NA NCHI YAO, ZANZIBAR ILIKUWEPO HATA KABLA YA JINA LA TANZANIA HALIJAUNDWA DUNIANI NA WALIKUWA WANAISHI VIZURI TU:tape:
 
kwanini jumuiya za kiislamu ndo zimeshupalia jambo hili?

kwa sababu waislam wa zenj wanataka kile kisiwa kiwe kama vile nchi za kiarabu....kitawaliwe kiislam...which means wakristo walioko kule watapata taabu..hawa watalii watakutana na sheria ngumu sana kule na kile kisiwa kitanunuliwa na waarabu kitakuja kutaliwa...na kinaweza ku end up kua ndio makao makuu ya al qaeda na al shabaab terrorist groups Ningependa kue na maoni ya watanzania wote kuhusu muungano...kwa sababu unless mtu aniambie kama tanganyika tunafaidika nini na muungano..mtu akishanielezea na nikaridhika basi nitasupport..so far sioni why tunalazimisha huu muungano wakati wazenji hawautaki na majority of tanganyikans hawautaki
 
Back
Top Bottom