Jumuiya ya Afrika Mashariki na Zanzibar

Tanzania ni nchi na eneo lake ni eneo lote la Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Ndani ya Tanzania kuna nchi ya Zanzibar? Nchi hii ina Raisi, Mahakama, Baraza la Wawakilishi etc.

Mkanganyiko wa ajabu. Kila kitu kiko wazi lakini hakuna anayechukua hatua kukubali lawama za mkanganyiko huo.
 
Mkuu,
Hapo nyekundu ingekuwa hivi Tanzania ni nchi na eneo lake ni eneo lote la Tanganyika na Zanzibar at least ingeleta maana.

Tusiwasaidie hawa wanaofanya madudu.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wanawawakilisha-nani-bungeni.html#post1857826

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-juu-ya-muswada-wa-katiba-4.html#post1843559
 
Tanzania ni nchi na eneo lake ni eneo lote la Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Ndani ya Tanzania kuna nchi ya Zanzibar? Nchi hii ina Raisi, Mahakama, Baraza la Wawakilishi etc.

Mkanganyiko wa ajabu. Kila kitu kiko wazi lakini hakuna anayechukua hatua kukubali lawama za mkanganyiko huo.

MAlberto.

Ungetakiwa ushauri juu ya mkanganyiko huu ungeshauri nini?
Au na wewe unapata kigugumizi?

Kama huna pa kuanzia, rudi miaka miwili kabla ya kuja kwa Muungano, revisit steps ambazo zimekuwa zikichukuliwa kuuimarisha muungano huu na vipi majadiliano ya upande wa Tanganyika na Zanzibar yalikuwa yakifanyika ,kama yalikuwa yakifanyika.

Je kuna utaratibu wa Tanganyika na Zanzibar kukaa kama wabia wa muungano kwa majadiliano na mapatano? kama hakuna ni kwa sababu gani?

Hawa "magamba" wanajifanya wajanja lakini wanaipeleka nchi hii ndani ya shimo.
 
Tanzania ni nchi na eneo lake ni eneo lote la Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Ndani ya Tanzania kuna nchi ya Zanzibar? Nchi hii ina Raisi, Mahakama, Baraza la Wawakilishi etc.

Mkanganyiko wa ajabu. Kila kitu kiko wazi lakini hakuna anayechukua hatua kukubali lawama za mkanganyiko huo.

Mkuu.
Haya madudu ya Tanzania yanaongezeka.
Unaelewa kuwa EAC wameanza kutoa pasi ya kusafiria ndani ya EAC, pia ID
Travelling

Mr. Mutabingwa informed the session that the ordinary citizens (Mwananchi) in East Africa was still waiting to see the immediate benefits of the Common Market. “For example the time when the Mwananchi will be allowed to cross borders without using the ordinary passport. Can we determine when all countries should have developed and ready to use electronically readable ID cards instead of passports?, wondered the EAC Executive.
PRESS RELEASE: EAC Ministers Meet to Consider Pending Annexes of Common Market Protocol

Unaelewa kuwa Tanganyika imebadilika jina imekuwa Tanzania bara...sasa kuna serikali ya shirikisho la Afrika mashariki inakuja..jee jina Tanzania nalo litapotea kama lilivyopotea Tanganyika?

jee Tanzania tutaibadilisha jina na kuiita Afrikamashariki baravisiwani?
 
Kwenye gazeti la Guardian la tar. 20/4/2011 ukurasa wa mbele kuna picha yenye maneno yafuatayo....

'Heads of EAC partner states stand attention as their national anthems are played at the start of the 9th extraordinary summit in DSM yesterday. From L are President Yoweri Museveni of Uganda, Mwai Kibaki of Kenya, Pierre Nkurunzinza of Burundi and J. Kikwete of Tanzania. With them are Rwanda Prime Minister Bernard Mukuza and Zanzibar President Dr. Ali Mohamed Shein'....

Najiuliza, je Dr. Shein ameenda kama mualikwa au msikilizaji? Nafasi yake katika hicho kikao ni ipi?

Je, kiitifaki nani anaanza kwenye mpangilio wa kukaa na kutajwa, Raisi au Waziri Mkuu? Iweje Waziri Mkuu wa Rwanda akae kabla ya Raisi wa nchi? Au ndio confirmation kwamba Dr. Shein alialikwa tu?

Mwenye uwezo wa kutufahamisha tusiojua ushiriki wa Dr Shein kwenye kikao hicho atufahamishe.

Natanguliza shukrani.

Mkuu MsandoAlberto.

Mwalimu alishatoa dawa ya tatizo hili lakini inaonekana "viongozi" wana vitu au mipango yao mingine.

Mwalimu alisema hivi,

"Kwa kweli hata kesho Nchi za Afrika ya Mashariki zikiamua kuungana, na Tanzania ikawa ni mshiriki, naamini kuwa ni rahisi zaidi kushirikisha Tanzania yenye Serikali Mbili - ya Zanzibar na ya Tanganyika - kuliko Tanzania yenye Serikali Mbili, ya Tanzania na ya Zanzibar. Wapendao Utanganyika watakuwa wazalendo zaidi, badala ya kuwa wasaliti, wakiazimia Afrika ya Mashariki iliyoungana kuwa Nchi Moja. kuliko Tanzania iliyotengana ikawa nchi mbili."

Soma ukurasa wa 10 mpaka 12. Kwa kuifufua EAC na azimio la kuanzisha EA federation ,Azimio hili linafanyiwa fast track au vipi?
Kwa kutounda,kutoifufua serikali ya Tanganyika, tunaongeza matatizo tu. Au sikuufahamu vyema ushauri wa mwalimu?

Uongozi Wetu Na Hatma Ya Tanzania (by Nyerere)
 
Back
Top Bottom