Jumuia za CCM kujiita Jumuia za Taifa

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
CWT ni tawi la propaganda la CCM, lakini wanajifanya ati ni Umoja wa Wanawake Tanzania.

Jumuia ya Wazazi Tanzania unaweza dhani ni taasisi isiyofungamana na upande wowote, lakini angalia picha hii:

Songea.jpg
 
Ilikuwa enzi ya chama kimoja lakini sasa hivi inabidi wabadili jina wawe kama uvccm, na wao wajiite UWCCM. UMOJA WA WANAWAKE WA CCM. FULL STOP.
 
Back
Top Bottom