Jumuia ya wasio na ajira

Kama taasisi kama hiyo ikianzishwa isiishie dar, iwe dar nzima
 
Wakuu naona zitto ameamua kulifanyia kazi wazo la taasisi yetu nadhani atapeleka muswada bungeni na tunatarajia kuwasilisha yatayopatikana huko ili tuweze kuokoa jahazi la wasio na ajira....lakini si zitto pekee bali tumeacha nafasi wazi kwa mjumbe yeyote bila kujali chama chake au nafasi yake kufanikisha ili, zitto, Nape, mnyika, jmakamba n.k wameonyesha kuwa tayari kulifanyia msukumo mkubwa bungeni
 
Safi sana ila kama itawezekana wanasiasi wasiusishwe sana kwasababu siasa za tanzania ni za vyama au makundi ndani ya vyama, wakiwepo wanasiasa kutoka chadema ccm watasusa kwa kuona chadema watapata umaharufu pia vivyo hivyo kwa ccm.
 
nadhani lazima tukae chini na kuangalia namna ya kuwatumia wanasiasa na mipaka yao, kwani tukisema tusiwatumie kabisa itakuwa ngumu kuweza kupitisha miswada kama ya kuyabana makampuni makubwa kuchangia asilimia moja ya mapato yao kwa ajiri ya wasio na ajira.

cha msingi ni kuepuka kuingiza maswala ya siasa moja kwa moja kwenye utendaji wa jumuia hii lakini ni ngumu kuepuka mchango wa wanasiasa
 
Mkuusamahani ila ningependa kutoa maoni yangu,

1. NI BORA HICHO MNACHOANZISHA KIKAWA NA LENGO MOJA, KUTAFUTIA WATU AJIRA, AU WATU KUJIAJIRI,

- KUHUSU KUTAFUTIA WATUAJIRA HAPO LABDA MUANZISHE NGOs KWA SABABU SERIKALI TIYALI INATAASISI YAKUTAFUTIA WATU AJIRA, HAWATAKUWA TIYALI KUWA NA CHOMBO KINGINE
- NA KAMA SI YASERIKALI HAO WAWAKILISHI ULIO WATAJA HAPO ITAKUWA NI VIGUMU SANA MKUU, HUWEZIPATA WAWAKILISHI KUTOKA SERIKALINI KATIKA TASISI ZA BINAFISI, AU LABUDA UNIPEMFANO WA TAASISI BINAFISI YENYE WAWAKILISHI KUTOKA SERIKALINI

- KUINGIZA WATU WASIASA HUMO NI KITU AMBACHO KITAVURUGA NA MWISHOWE TAASISI ITABADILIKA KUWACHAMA CHA SIASA

- MUWAKILISHI KUTOKAMAKAMPUNI MBALIMBALI NACHO NI KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI MKUU, TANZANIAMAKAMPUNI YAKO MENGI SANA NA KILA KMPUNI INA SERA ZAKE NA KAMPUNI MOJA NI ADUIWA KAMPUNI NYINGINE.

- Cocacola ni adui waPepsi leo hii uwambie wachague mwakilishi ni kitu kisicho kuwepo kabisa mkuu,na hata hivyo hao wawakilishi wa kampuni watakuwa na kazi gani?

- Muwakilishi kutokakwa msajiri wa kampuni Tanzania aje kufanya nini? je ile BRELA ina mapugufugani?

MKUU MAWAZO YAKO NIMAZURI ILA UNACHO TAKA KUKIANZISHA NAKUHAKIKISHIA HAKITAWEZEKANA KWA MUUNDO HUOUNAO UTAKA WEWE.

Mkuu labuda muanzisheOrganization katika kujiajiri hapo itawezekana lakini hili la kutafuta ajira,inakuwa ni vigumu kwa sababu AJIRA ZINATANGAZWA NA WATU WANA APY, SASA HAPOSIJAJUA NYIE MTAWASHAWISHI VIPI HAO MAKAMPUNI YAWAJIRI NYIE NA YASIWAAJIRIWENGINE.

-TENGENEZENIORGANIZATION THENI MNAWEZA TENGENEZA MTANDAO WA KUJIAJIRI KWA CAPITAL NDOGO, AUMNAWEZA KUJIORGANAIZE MKIWA MAKUNDI MAKUNDI NA KUANZISHA KAMPUNI ZENU MBALIMBALI NA MKAWA MNASAPOTIANA

- KUNA KITU HUWAKINAITWA GRADUATE ENTREPRISES AU GRADUATES GROUPS OF COMPANY,

Tatizo la ajira ni janga la kitaifa hivyo hakuna serikali duniani itayoweza kukwepa kutafuta njia ya kutatua tatizo hili, pia si wakati wa kuwaambia vijana kwamba lazima wapate ajira bali ni kuwashawishi kujiajiri na kuwezeshwa kupunguza ukiritimba wa taasisi za usajili kwa mfano kijana akienda brela inaweza kumchukua mpaka mwezi mmoja kusajiri biashara yake , kama serikali na taasisi hii zikikaa na vijana tunaweza fika wakati mtu akasajili biashara yake kwa siku moja na ata pengine kwa kutumia simu yake ya mkono bila ya usumbufu wowote.

Ni wazo zuri vijana na watanzania mliobuni jaribuni kuliendeleza
 
We're 2gether!!! Ajira is an issue that needs special and romantic attention!!
 
Wote tunatambua ya kuwa ajira ni muhimu katika maisha ya mwanadamu, pia tunatambua ya kuwa kama kijana kuishi ni muhimu kuwa na ajira hivyo ukosefu wa ajira ni jambo gumu kwa kijana, kuliona hilo kuwa ni tatizo kwa vijana nimeona kuanzisha jukwaa litalokusanyisha wasio na ajira ili kuwa na sauti moja. Lengo si tu kutaka ajira bali kutafuta namna serikali itavyoweka namna ya vijana waweze kupatiwa mitaji au fursa za kujiajiri

Walio tayari kwenye jukwaa la wasio na ajira naomba wajiunge ili sauti ya umoja ni sauti ya Mungu

kuna kitu lazima ukitambue kazi ya taasisi hii ni ya kisera zaidi , kwani kazi yake ni kuweka mazingira mara ya watu kuweza kukabiliana na tatizo la ajira. na kwa mfumo wake itakuwa na bodi ambayo wajumbe wake watatoka sehemu mabali mabali , kwa ufupi mchanganuo wa mfumo wa bodi hii

1. Kutoka katika kundi la wasio na ajira

2. muwakilishi kutoka bungeni

3.muwakilishi kutoka katika wizara ya ajira/utumishi

4.Wawakilishi katika vyama vyote vya siasa

5.muwakilishi kutoka taasisi ya msajili wa kampuni na biashara

6.muwakilishi kutoka makampuni mbali mbali

LENGO LA JUMUIA HII

1. Kusaidia vijana kutuma maombi ya ajira kwenda sehemu mabali mbali

2. kutafuta ajira na fulsa za kibiashara sehemu mbali mbali na kuziweka wazi kwa wasio na ajira

3.Kuwasiliana na serikali hili kutoa usajili na utoaji wa leseni za kibiashara kwa wasio na ajira kwa gharama ndogo au bure kabisa

4.kuwawezesha vijana walio katika biashara ndogo ndogo kutambulika na kuweza kukopesheka

5.Kutafuta mitaji kutoka katika taasisi mbali mbali ikiwemo kujaribu kushauri makampuni makubwa ya madini, mabenki na makampuni ya simu kuchangia angalau 1% ya faida kama ruzuku kwa vijana wasio na ajira

5. kusimamia ajira za umma kutotolewa kwa upendeleo au rushwa

kwa maoni na ushauri pls sms 0752798074

Taasisi yako ingefanya kazi moja tu, lengo la jumuiya (5). mengine ni udaku tu. Kwanza kuajiriwa siyo muhimu sana kama una akili timamu na una uwezo wa kufanya biashara.

Tuwe wabunifu tupunguze kulalama/kulalamika.
 
nadhani lazima tukae chini na kuangalia namna ya kuwatumia wanasiasa na mipaka yao, kwani tukisema tusiwatumie kabisa itakuwa ngumu kuweza kupitisha miswada kama ya kuyabana makampuni makubwa kuchangia asilimia moja ya mapato yao kwa ajiri ya wasio na ajira.

cha msingi ni kuepuka kuingiza maswala ya siasa moja kwa moja kwenye utendaji wa jumuia hii lakini ni ngumu kuepuka mchango wa wanasiasa

King naomba ni pm ur number tafadhali kesho tuongee kwa kirefu
 
Taasisi yako ingefanya kazi moja tu, lengo la jumuiya (5). mengine ni udaku tu. Kwanza kuajiriwa siyo muhimu sana kama una akili timamu na una uwezo wa kufanya biashara.

Tuwe wabunifu tupunguze kulalama/kulalamika.

taasisi yetu lengo lake si kwetu binafsi ni kwa lengo la jamii ya taifa letu. inawezekana wewe usione umuhimu wake lakini wengine wanaweza kuona umuhimu wake. unaweza ukawa wewe binafsi umeona la muhimu ni lipi mwingine akaona sio la muhimu, cha msingi usihukumu wala kuwa sehemu ya kikwazo kwa mawazo ya wengine. kabla ya kuanza tulifikiri sana na tulilijadili suala la watu wataotumika kukatisha vijana na wananchi tamaa ya kutimiza malengo.

caroline mawazo yako ni sehemu ya changamoto ya taasisi yetu , Tutajitahidi kutimiza malengo mengi na mungu akipenda nawe utakuwa miongoni mwa mashahidi.
 
Tuko pamoja mkuu

hii ni ni wazo jema..

wanasiasa tumewachagua wameshindwa kutusimamia, waeshindwa kutusemea,, lazima maslahi yetu tudai wenyewe.. lazima tujikwamue wenyewe.......

tukumbuke hata uhuru ulipiganiwa na vyama vya wafanyakazi.. sasa mapinduzi yataletwa na vyama vya wasio na ajira.... tuamke ndugu zangu fainali uzeeni.. tusipojipanga na kupigania haki yetu leo ,,,hakika hatuta oa oa, hatutakuwa na watoto, familia na hata ile dreamed future.
 
Back
Top Bottom