Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Jumuia Mpya ya Africa Mashariki (EAC) ilifana kwa kipindi kifupi, halafu ikadorora na kufikia mwaka wa 1977 ilikua imevunjika kabisa huku mataifa wanachama yakirushiana cheche za lawama kuhusu ni yupi aliyesababisha kifo cha muungano huo. Je kuna hakikisho gani kuwa vizingiti vilivyokuwepo miaka ya 1970 vimeondoka ili kufanikisha ndoto ya muungano huu mpya? Kama ule muungano wa kwanza ulikua na shida naona hata huu wa sasa una shida.