Jumong...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,884
Hivi humu ndani kuna watu wanao tazama jumong?

Ni tamthilia nzuri mno ya kikorea, na inahusu siasa zaidi kuliko kingine. Natamani wana jf wote wawe wanatama jumong, ina fundisha vitu vingi sana, kama ujenzi wa taifa nk,
 
hivi humu ndani kuna watu wanaotazama jumong?ni tamthilia nzuri mno ya kikorea,na iinahusu siasa zaidi kuliko kingine.natamani wana jf wote wawe wanatama jumong,ina fundisha vitu vingi sana,kama ujenzi wa taifa nk,


Me ihate it somuch. Nimekuwa naionaona tu bila

kuconcentrate nayo, maana huwa naona mafarasi,

majambia na mavitu ya ukorofiukorofi, so i see it as very

hostile to me. Anyway, after what you said may be i will try

to give a strait eye to it! Thanks
 
me ihate it somuch. Nimekuwa naionaona tu bila

kuconcentrate nayo, maana huwa naona mafarasi,

majambia na mavitu ya ukorofiukorofi, so i see it as very

hostile to me. Anyway, after what you said may be i will try

to give a strait eye to it! Thanks

sio wewe tu,wengi hawailewi,inabidi utulie ufuatelie kila kitu kwa umakini ili uielewe,ni tamthilia inayohusu siasa tupu.....
 
Nadhani tatizo lenu ni kile kidhungu. Ili uielwe inabidi usome zile sub-titles.

Kama husomi zile itakuchanganya tu. Unadhani wameeka zile sub-titles mapambo?

Sasa pengine nyie mnaangalia picha tu halafu mnategemea miujiza itokee muielewe.

Ni tamthilia nzuri sana, na inafunza mengi sana. Kama husomi na kuielewa utaona watu wanapigana mapanga tu.

Kama alivyosema mmoja hapo juu, ni story about building a new nation, challenges ambazo jamaa wanakutana nazo, na wanavyozikabili. Kikubwa ninachokiona pale ni jinsi watu wanavyoweza kushirikisha akili sana katika kuelewa mazingira yanayowazunguka, na kupanga nini cha kufanya.

Halafu pia kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, itakuwa ngumu sana kuelewa kinachofanyika hata kama ukisoma zile-subtitle.

Tamthilia hii si kwa watoto, au wenye upeo mdogo. Na definately sio kwa wale wanaotaka hadithi rahisi rahis zilizonyooka.
 
Nadhani tatizo lenu ni kile kidhungu. Ili uielwe inabidi usome zile sub-titles.

Kama husomi zile itakuchanganya tu. Unadhani wameeka zile sub-titles mapambo?

Sasa pengine nyie mnaangalia picha tu halafu mnategemea miujiza itokee muielewe.

Ni tamthilia nzuri sana, na inafunza mengi sana. Kama husomi na kuielewa utaona watu wanapigana mapanga tu.

Kama alivyosema mmoja hapo juu, ni story about building a new nation, challenges ambazo jamaa wanakutana nazo, na wanavyozikabili. Kikubwa ninachokiona pale ni jinsi watu wanavyoweza kushirikisha akili sana katika kuelewa mazingira yanayowazunguka, na kupanga nini cha kufanya.

Halafu pia kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, itakuwa ngumu sana kuelewa kinachofanyika hata kama ukisoma zile-subtitle.

Tamthilia hii si kwa watoto, au wenye upeo mdogo. Na definately sio kwa wale wanaotaka hadithi rahisi rahis zilizonyooka.

asante kaka kwa kuwaeleza,humu ndani tuna discus mambo ya ufisadi
kila siku,basi kwenye hii tamthilia utaona aina ya viongozi ambao TANZANIA inawahitaji na inawakosa.
 
Mimi huwa sikosi kuiangalia labda kwa bahati mbaya.

Ina mafundisho mengi sana licha ya siasa na uongozi hata kimaisha. Nadhani hawa Korea wapo juu katika tasnia ya filamu. Kwa kweli wana-act sio kwa kuogopa kamera, wanajua wanachokifanya na wamejiandaa.

Kabla ya Jumong ilikuwepo nyingine huko ITV inaitwa Jewerly in the Palace ambayo ilikuwa inahusu kugombania madaraka ikulu na ugunduzi wa madawa na tiba, kwa sasa inarudiwa Capital TV.
 
Kwa kweli naipenda sana Jumong, ni thamthilia nzuri sana kama unaelewa story, mimi huwa siwezi kuangalia usiku, nasubiri marudio j,mosi , kama nina kitu cha kufanya jmosi, nakipanga kuanzia saa sita jumong ikiisha .
 
Mimi huwa sikosi kuiangalia labda kwa bahati mbaya.Ina mafundisho mengi sana licha ya siasa na uongozi hata kimaisha.Nadhani hawa Korea wapo juu katika tasnia ya filamu.Kwa kweli wanaact sio kwa kuogopa kamera,wanajua wanachokifanya na wamejiandaa.
Kabla ya Jumong ilikuwepo nyingine huko ITV inaitwa Jewerly in the Palace ambayo ilikuwa inahusu kugombania madaraka ikulu na ugunduzi wa madawa na tiba,kwa sasa inarudiwa Capital TV.

hata jewerl in the palace ni nzuri sana , inazidi kunoga
 
Well sikujua mashabiki wa Jumong wako wengi, anyhow hata mimi naipenda na hasa kwenye upande wa uvumilivu na umakini wa mipango ya Jumong katika kufanikisha anachokiamini, kama vile Jumong anavyopata misukosuko mingi na ambayo atakuja kuipata mikubwa zaidi ili kutimiza ndoto yake ya kujenga taifa kubwa na lenye nguvu duniani.

Ukitaka kuangalia episode ulizozikosa waweza kwenda hapahttp://www.filipinasoul.com/jumong-episode-summaries/
 
Last edited:
well sikujua mashabiki wa Jumong wako wengi, anyhow hata mimi naipenda na hasa kwenye upande wa uvumilivu na umakini wa mipango ya Jumong katika kufanikisha anachokiamini, kama vile Jumong anavyopata misukosuko mingi na ambayo atakuja kuipata mikubwa zaidi ili kutimiza ndoto yake ya kujenga taifa kubwa na lenye nguvu duniani.
ukitaka kuangalia episode ulizozikosa waweza kwenda hapa http://www.filipinasoul.com/jumong-episode-56/
Hej Agika,
Tamthilia inaitwa Jumong, na yule stering ni Chumong na sio Jumong.
Asante kwa hiyo link
 
Jumong iko tight kaka....!!
inafundisha mambo mengi kwa wanamapinduzi....Hebu mcheki Jumong...,Taeso...,Yangpoo..,Mo Pamo....Bubunmo...sio mchezo ...Karibuni wote tuicheck hii tamthilia Kila Alhamisi na Ijumaa kuanzia saa Tano Usiku ITV..
2po pamoja...:
 
Mimi sio tuu naiangalia Jumong bali ni mgonjwa wa Tamthilia hizi za Korea na China, tangu Oshin, Boxset, Jewel in the Palace, Winter Sonata, Bae Yong Jun, Dae Jang Geum, Full House, Coffee Prince, All-in, Goong, Resurrection, Kim Sam Soon na Golden Bride.

Hizi movies zimekaa kama kiukweli ukweli na sio za kuzuga zuga kama tamthilia za Latino, uwongo mwingi.
 
hellow?mi ndo nmejiunga na forum n i like this discussion.
kwa kweli mi mwanzon sikuwa na mzuka na chumong ila mdogo wangu aliniambia ni nzuri yan nlivoifatilia nmeipenda sana, i cant miss it.Inafundisha a lot japo inatisha kidogo,uvimilivu,upendo,ujasiri.
 
Pamoja na mambo ya uzalendo, ushirikiano na kufanya kazi kwa bidii, Jumong pia inafundisha imani thabiti kwa Mungu unayemwamini. Kila mara wanaomba ushauri toka kwa miungu yao katika mambo yote wanayotaka kuyafanya..inafurahisha sana
 
Nimefurahishwa na jamvi hili pale watu kutoka pande mbalimbali wanavyoweza kushare interest,hobbies n.k.

Kwa ufupi kwa mtu aliyeifuatilia kama mimi tangu mwanzo hadi mwisho, kama mtizamo wako wa maisha, kisiasa, kiuchumi, kiulinzi, kiintelgensia (intelligence), kijamii, kimahusiano,ushirikiano, kiimani kwa watu na kwa Mungu, taja utakayo utakuwa umebadilika au umepata kitu kipya. N umejifunza kuwa katika kuleta mapinduzi katika jamii kujitoa ni jambo la msingi kuliko yote, wala sio namba ya watu.

Kwa wale mnaoifuatilia hakikisha episode zote zijazo unaziangalia ni muhimu na ni nzuri mno, itaishia episode 81.
 
Back
Top Bottom