Jumba linauzwa

Ole kama utakyenunua hilo jumba ni mnyakyusa au Msukuma kijiji kizima kitahamia hapo hadi itakuwa kero,kwa kuwabana mimi nina vyumba viwili vya kula changu na cha mwanangu na kasebule kadogoo kamejaa viti hakuna hata nafasi ya kufagia,yote hiyo kukwepa karaha ya kuwa na wageni wakazi

Mtu gani hupendi ndugu zako?acha wajaage mami tutakulaga tunachopata..
 
Mimi ni property dealer. Hiyo bei bila samani za ndani na house girl. Simu zangu zinapatikana jaribu tena kupiga mojawapo.
 
Mimi home kwangu ni ex tended family of about 11 people. Kuna furaha kubwa sana mpaka majirani wanatuonea gere kwa vicheko vya usiku.. Wao pamoja ya kuwa ni wachache lakini moto unawaka. Angalia somalia vita kila kukicha, Rwanda n.k. China nchi kubwa lakini inatawalika. Inategemea wewe unatoka katika jamii gani.
 
hiyo nyumba ilikuwa inauzwa mil 240 naona sasa ameamua kushusha bei, nimeanza kuiona kwenye website mbalimbali zaidi ya mwaka, 170m bado ni pesa nyingi sana
 
hiyo nyumba ilikuwa inauzwa mil 240 naona sasa ameamua kushusha bei, nimeanza kuiona kwenye website mbalimbali zaidi ya mwaka, 170m bado ni pesa nyingi sana

kuwa na subira labda baada ya mwaka tena itakuwa 100m
240>170>100>30 lol
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom