Jumatatu Kareem

Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.

Hapo kwenye redi, masharti kuzingatiwa
 
Wikendi inayokuja si kitoto, hata wapenzi wa zamani utaona wanaanza kukupigia pigia simu.

Il Gambino.
 
Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.
BWANA YESU ASIFIWE BUJIBUJI,
Nafurahi kusoma post yako!
 
Mamito,njoo tu wala usijali,
Bujibuji ni mtumishi hasa!
kweli ni mtumishi hasa, kuna movie moja huyo mwenzake wa kwenye avatar yake alijifanya mtumishi akawa anawasarandia wake za watu kwa kuwaweka wiki nzima chumbani kwake kwa lazima eti anawafanyia maombi.
 
haaa haaa haa!
Zumbe mkuu kumbe nawe uliiona?
Jamaa bonge la pasta ila lol!
 
Asante mtumishi ila,
Na wewe huwa unatumiaga style ya kuombea km huyo aliopo kwenye avatara yako?

Sina muda wa kuombea mimi. Wenye matatizo wanashika pindo la nguo yangu na wanapata uponyaji. Nasema neno la imani kwa jina la Yesu, watu wanafunguliwa kutoka kwenye vifungo vya mwovu shetani. Naweka mikono kwa wagonjwa nao wanakuwa wazima, Bwana asifiwe sana
 
Back
Top Bottom