Jumapili njema!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,944
22,095
nawatakia jumapili njema na safari njema kwa wote wanaoanza kuondoka kesho kuelekea Moshi na kwingineko kuweza pata sensa kamili ya wangapi walioko dar tuweze kuwaita siku za Harambee za vijiji kuchangia maendeleo yenu
Msiache kwenda kusali kumshukuru Mungu jamani
 

Attachments

  • pppyyyyy.jpg
    pppyyyyy.jpg
    16.5 KB · Views: 33
usiniulize huyo paka ana meno ama lah na akitoka mbele aanamia wapi sijui vituko vya wenzetu
 
Back
Top Bottom