Jumapiki & PASAKA njema... JF.

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Naimani wengi wenu mtakuwa wazima wa afya..
Kwa wale wapenzi wa tasnia ya sanaa hususani filamu poleni sana kwa msiba wa mwanasanaa mwenzenu.

Lakini pia kwa wakristo wote nichukue fulsa hii kuwatakia PASAKA NJEMA.
Na kwa wale waimani tofauti na hyo pia nawatakia JUMAPILI njema..

STAY BLESSED..

MTALLY...
 
Shukrani mkuu nawe Pasaka njema. Haleluyaa ameshinda mauti.
 
Naimani wengi wenu mtakuwa wazima wa afya..
Kwa wale wapenzi wa tasnia ya sanaa hususani filamu poleni sana kwa msiba wa mwanasanaa mwenzenu.

Lakini pia kwa wakristo wote nichukue fulsa hii kuwatakia PASAKA NJEMA.
Na kwa wale waimani tofauti na hyo pia nawatakia JUMAPILI njema..

STAY BLESSED..

MTALLY...

nawe kaka shukulani sana
 
Back
Top Bottom