Juma tano ya majivu leo.

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Nawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda kanisani kupaka majivu leo jioni mimi ndo naelekea. Nawatakia wote mfungo mwema.
 
umefanya vizuri kuwakumbusha waliosahau kutokana na mahangaiko ya dunia
 
Nawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda kanisani kupaka majivu leo jioni mimi ndo naelekea. Nawatakia wote mfungo mwema.

Asante sana kwa kutukumbusha
 
Nawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda kanisani kupaka majivu leo jioni mimi ndo naelekea. Nawatakia wote mfungo mwema.

Thank u very much kwa kutukumbusha,ndo na mie naelekea kuyapaka majivu mitaa ya changombe rc,mfungo mwema to all out there.
 
Asante sana kwa kuwakumbusha wale ambao watakua hawajui leo ni siku gani!
 
Ubarikiwe sana mkubwa. Kwa wale wakristo wenzangu nawatakia mfungo mwema wa Kwaresma. Tumuombe Mungu kipindi hiki atujaze neema zake na busara zaidi katika kuzikabiri changamoto mbali mbali za maisha.

Nwatakia Kwaresma njema wote,

Masanja
 
Thanks.
Ecrossrisen.jpg

goldcr2.gif
 
Back
Top Bottom