BULOLE BUKOMBE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 488
- 109
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?
Juma hajui kuambiwa ukweli, akiambiwa ukweli anaita kashifa utadhani si mwandishi wa habari yeye anataka asifiwe hata kama analala bungeni aache ujinga wake na magamba yake