Juma Nkamia: Ni nani wamiliki wa mitandao inayokashifu viongozi?

Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?

kweli nimeamini,haya..ni hata umpeleke new york bado atabakia kuwa haya..ni tu.pamoja na kuishi nje muda mrefu huyu jamaa bado ni cheap thinker kiasi hiki?
 
Nkamia siku zote hajawahi kuwa na busara nadhani anazidi kujidhihirisha alivyo Ephraim ahh no alivyo kibonde!
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.

Mwandishi wa habari kama Nkamia alipaswa awe mstari wa mbele kutetea uhuru mpana wa vyombo vya habari na si kubana uhuru wa vyombo vya habari kwa kuzuia visiwakashifu viongozi. Na kama kiongozi amekashifiwa kwa nini asipeleke malalamiko yake kwenye mamlaka inayohusika? Enzi anazozifikiria Nkamia zilishapita na sidhani kama zitarejea tena. Viongozi walio safi hawana haja ya kuvihofia vyombo vya habari. Kauli yake haijaitendea haki tasnia iliyomfikisha hapo alipo.
 
- People sometimes tunatakiwa kuwa Great Thinkers, Mheshimiwa Mbunge ameuliza swali sasa tunatakiwa kumuelimisha kwamba JF ni watu wa aina gani na what we stand for, the way hii thread inavyokwenda hatuwi Great Thinkers!!

- Halafu Mheshimiwa who is my very good friend, amekwenda mbali mno maana kama unaishi bongo unatakiwa kuuliza kwanza nani ni mmiiki wa magazeti yetu, jinsi yanavyoichana Serikali kila siku na Rais ameyanyamazia kimya, ndio dalili za ukomavu wa kisiasa!!

- Again Mheshimiwa Mbunge ajaribu kuiga tabia ya Rais wa sasa ya kuvumiiliana, maana ndio Demokrasia yenyewe na ni mwanzo tu maana sio muda mrefu ndio tumetoka kwenye chama kimoja, so bado tunajifunza kutofautiana bia kugombana, mtu akikuita mbwa na wakati unajua you are not one, isikusumbue kama Rais wetu anavyofanya, anajua what he stands for na anajua who he is, so kama anavyosema Rais, kelele za mlango zisimsumbue Mheshimiwa Mbunge!!

- Lakini at the same token great thinkers tunatakiwa in the end kutafakari the message!!

William.

William, nakubaliana na wewe kwenye hili. Wanasiasa wetu ni vema wakaanza kujifunza namna ya kuishi kwenye siasa za ushindani. Bila ya kuwa na ngozi ngumu watajikuta wanalalamika kila kukicha kwa mambo ambayo wengine wanaona ni ya kawaida kabisa. Nilitegemea mbunge kijana kama Nkama awe miongoni mwa contributor wakubwa kwenye mitando kama huu wa JF, badala yake anaonekana kuturudisha nyuma. Wafanyakazi wenzake BBC-London wakisikia mchango wake bungeni watashangaa sana! Bado tuna safari ndefu.
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.
kuna tofaut kati ya kukashifiwa na kukosolewa,na hii ni muhimu sana kwa watu kujua,kama ni kweli alikutwa akimkamua mwanadada arusha watu wasizungumze?ila kama anataka kusifiwa anapaswa kumiliki gazeti LAKE YEYE MWENYEWE,ALIITE NKAMIA: yapo mambo mengi ambayo anapaswa kuyajadili kuhusu tasnia ya habar: AS cry:
 
Mmoja anaitwa mark zuckerberg..yuko marekani.Wamtume Ahmed Msangi akamshughulikie.

Kuna kipindi nilikuwa najua kuwa mbunge inahitaji uwe na busara ya kutosha,ila toka nkamia awe mbunge nimeitoa maanani kabisa hii title..ni nani anamkumbuka huyu jamaa kipindi anachambua mambo TBC??he was veeeeery incompetent..ni dhahiri kuwa siku watanzania wote wakielimika kuna watu watapata kura za aibu.
 
- People sometimes tunatakiwa kuwa Great Thinkers, Mheshimiwa Mbunge ameuliza swali sasa tunatakiwa kumuelimisha kwamba JF ni watu wa aina gani na what we stand for, the way hii thread inavyokwenda hatuwi Great Thinkers!!

- Halafu Mheshimiwa who is my very good friend, amekwenda mbali mno maana kama unaishi bongo unatakiwa kuuliza kwanza nani ni mmiiki wa magazeti yetu, jinsi yanavyoichana Serikali kila siku na Rais ameyanyamazia kimya, ndio dalili za ukomavu wa kisiasa!!

- Again naomba kumuhakikishia My friend Mheshimiwa Mbunge kwamba wamiliki wa huu matandao hawana anything to do na contest za humu ndani, kuna tofauti kati ya blog na Forums, especialy a forum like this one, ambayo ina members kama 90,000 I mean huwezi kufuatilia kila neno la members wote hao ambao the records zipo very clear kwamba wanashiriki in one way or another kuchangia kila siku ya Mungu humu!!

- Again Mheshimiwa Mbunge ajaribu kuiga tabia ya Rais wa sasa ya kuvumiiliana, maana ndio Demokrasia yenyewe na ni mwanzo tu maana sio muda mrefu ndio tumetoka kwenye chama kimoja, so bado tunajifunza kutofautiana bia kugombana, mtu akikuita mbwa na wakati unajua you are not one, isikusumbue kama Rais wetu anavyofanya, anajua what he stands for na anajua who he is, so kama anavyosema Rais, kelele za mlango zisimsumbue Mheshimiwa Mbunge!!

- Lakini at the same token great thinkers tunatakiwa in the end kutafakari the message!!

William.
kweli nkamia amehuzunishwa na hilo tu?,pia mwambie wanatukanwa kwakua wanaudh
 
Juma Mkamia ni kilaza sana.
Anadhani bado tuko enzi za mika ya 70 alipokuwa anapiga propaganda radio Tanzania.
Sijui hata kama anajua jinsi ya kutumia kompyuta. Ni kilaza sawasawa.
Hivi kwani hao anaoita viongozi ni Miungu wetu?? Mjinga kweli!
 
- People sometimes tunatakiwa kuwa Great Thinkers, Mheshimiwa Mbunge ameuliza swali sasa tunatakiwa kumuelimisha kwamba JF ni watu wa aina gani na what we stand for, the way hii thread inavyokwenda hatuwi Great Thinkers!!

- Halafu Mheshimiwa who is my very good friend, amekwenda mbali mno maana kama unaishi bongo unatakiwa kuuliza kwanza nani ni mmiiki wa magazeti yetu, jinsi yanavyoichana Serikali kila siku na Rais ameyanyamazia kimya, ndio dalili za ukomavu wa kisiasa!!

- Again naomba kumuhakikishia My friend Mheshimiwa Mbunge kwamba wamiliki wa huu matandao hawana anything to do na contest za humu ndani, kuna tofauti kati ya blog na Forums, especialy a forum like this one, ambayo ina members kama 90,000 I mean huwezi kufuatilia kila neno la members wote hao ambao the records zipo very clear kwamba wanashiriki in one way or another kuchangia kila siku ya Mungu humu!!

- Again Mheshimiwa Mbunge ajaribu kuiga tabia ya Rais wa sasa ya kuvumiiliana, maana ndio Demokrasia yenyewe na ni mwanzo tu maana sio muda mrefu ndio tumetoka kwenye chama kimoja, so bado tunajifunza kutofautiana bia kugombana, mtu akikuita mbwa na wakati unajua you are not one, isikusumbue kama Rais wetu anavyofanya, anajua what he stands for na anajua who he is, so kama anavyosema Rais, kelele za mlango zisimsumbue Mheshimiwa Mbunge!!

- Lakini at the same token great thinkers tunatakiwa in the end kutafakari the message!!

William.

William hii message si ngumu kuielewa. Inahimiza serikali iwatafute wamiliki wa mitandao inayokashifu viongozi na ama kuwapa maelekezo yatakayozuia viongozi kukashifiwa au iwachukulie hatua. Mtazamo huu kwa mwana tasnia ya habari kama Nkamia unampunguzia hadhi aliyokuwa anapewa na wanaonufaika na uwanja mpana na huru wa kupashana habari uliopo leo.

Kile anachokiita Nkamia kukashifu viongozi kwa wengi hakionekani kuwa ni kukashifu bali ni madudu yanayoshuhudiwa na watu yanayotendwa na baadhi ya viongozi wetu wasiojiheshimu. Badala ya kufikiria kuwa watu wataacha kuyasema kwa kushikiwa bango na serikali angejikita katika kuwataka viongozi wenzake kutunza maadili ya uongozi.

Hiki anachokifanya Nkamia kinaleta sura kuwa ama yeye mwenyewe Nkamia ni mmoja wa waliochafuliwa na mitandao ama kiongozi wake anayemuheshimu amehusika katika kile anachokiita kukashifiwa. Kwa kuwa watu wamegundua kuwa kumtetea kiongozi anayekashifiwa (hata kwa yale anayostahili kukashifiwa) kunaweza kukuongezea upendeleo kwa kiongozi huyo ndiyo maana tunamuona Nkamia na Willian nao wakijaribu kuwatetea viongozi wanaosemwa sana kwenye mitandao.

Nani ajuaye kesho tukasikia wamekuwa wakuu wa wilaya. Kila la heri wenye ndoto za kupata upendeleo kwa wenye madaraka lakini sisi Great thinkers tutaendelea kuwa kazini tukiielimisha jamii.
 
Juma Nkamia ni Mbunge wa CCM wa Jimbo la Kodoa Kusini na email address yake ni 'jnkamia@parliament.go.tz'

quote_icon.png
By Safari_ni_Safari
Wabunge wa CCM toka Singida sijui wana matatizo gani

We zuzu nani kakwambia Nkamia ni mbunge wa Singida?...wewe ni zuzu kabisa,tena dhaifu!

Mama mdogo asante sana kwa kutupatia e-mail address ya mkamia mm naona raha yake tupambane humuhumu kwenye Jukwaa huru tutaelimishana na wenye MITUSI waache hakuna faida kuanza kufungiwa km Ze Utamu na kuanza kutafuta facebook ni noma maana sisi kinyaji chetu ni JF kuliko kilevi
Mitandao ya kijamii jama ni tishio waulizeni Tunisia, Misri na nchi za kiarabu hiyo ndiyo iliyoratibu mapinduzi, ni CHINA pekee ndiyo iliyoizibitina hakuna tusifikie huko hebu tuache matusi na kashfa hasa jukwaa la siasa
 
Kama JF basi kachemka mno kwa sababu yanayoandikwa JF sio maoni ya wamiliki, ni mambo yanayoongelewa mitaani pia. Hivyo ukiidhibiti JF sawa, lakini je, utadhibiti midomo ya watu mitaani?

Na ni hayo maoni yanatolewa JF yamewasaidia wengi. Naona hata media houses nyingi tu zinatumia JF kama source ya kuanzia ufuatiliaji wa habari mbalimbali. Long live JF.
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.

Hongera nkamia. mbowe alisema redio imaani inakashifu wakiristo tukapiga makofi. Nkamia anasema kuna mitandao inakashifu viongozi watu wamechukia. Mitandao hii ifungiwe tu
 
Na ni hayo maoni yanatolewa JF yamewasaidia wengi. Naona hata media houses nyingi tu zinatumia JF kama source ya kuanzia ufuatiliaji wa habari mbalimbali. Long live JF.

Kumbe sio redio imaani peke yake. hata mitandao nayo ifungiwe. HONGERA NKAMIA KWA KUSIMAMIA UKWELI
 
William hii message si ngumu kuielewa. Inahimiza serikali iwatafute wamiliki wa mitandao inayokashifu viongozi na ama kuwapa maelekezo yatakayozuia viongozi kukashifiwa au iwachukulie hatua. Mtazamo huu kwa mwana tasnia ya habari kama Nkamia unampunguzia hadhi aliyokuwa anapewa na wanaonufaika na uwanja mpana na huru wa kupashana habari uliopo leo. Kile anachokiita Nkamia kukashifu viongozi kwa wengi hakionekani kuwa ni kukashifu bali ni madudu yanayoshuhudiwa na watu yanayotendwa na baadhi ya viongozi wetu wasiojiheshimu. Badala ya kufikiria kuwa watu wataacha kuyasema kwa kushikiwa bango na serikali angejikita katika kuwataka viongozi wenzake kutunza maadili ya uongozi. Hiki anachokifanya Nkamia kinaleta sura kuwa ama yeye mwenyewe Nkamia ni mmoja wa waliochafuliwa na mitandao ama kiongozi wake anayemuheshimu amehusika katika kile anachokiita kukashifiwa. Kwa kuwa watu wamegundua kuwa kumtetea kiongozi anayekashifiwa (hata kwa yale anayostahili kukashifiwa) kunaweza kukuongezea upendeleo kwa kiongozi huyo ndiyo maana tunamuona Nkamia na Willian nao wakijaribu kuwatetea viongozi wanaosemwa sana kwenye mitandao. Nani ajuaye kesho tukasikia wamekuwa wakuu wa wilaya. Kila la heri wenye ndoto za kupata upendeleo kwa wenye madaraka lakini sisi Great thinkers tutaendelea kuwa kazini tukiielimisha jamii.

- Mheshimiwa ameuliza swali, anachotakiwa ni kujibiwa kama alivyouliza ndio kuwa grea thinker, kuhusu mengine kama ya kutetea and stuff ni yale yale niliyosema mtu kukuita mbwa na unajua you are not, so inakuwa kelele za mlango!!

- The bigger question hapa ni nini role ya forums na blogs katika transformation ya taifa kutoka chama kimoja kwenda kwenye siasa za vyama vingi, what is the role of mitandao na sio majina ya watu na ukuu wa wilaya kama ulivyosema it has absolutey nothing to do with it!!

- Great Thinkers tunatakiwa ku-deal na the big picture always kuiko majina ya watu!!, Swali alilotakiwa kuuliza Mheshimiwa Mbunge ni what is the role ya mitandao na siasa za vyama vingi, waziri wa Mawasiliano anatakiwa kuitisha semina kwa wabunge on the ishu, badala ya kutafutana uchawi!!

William.
 
Ana kiwewe!mana walimuandika kafumaniwa na mwandish fulani wa habari huko Arusha...hana mupya huyu!ulimwengu wa woga ulishakwisha...huwez kuzuia mashuz kwa Anal Muscles..ile ni nature lazma ushuzuke!mda wa kuzuia mitandao hakuna mana dunia imebadilika

anajua bado yuko enzi za RTD(malenga wetu). huwezi kubadilika kaa na ujinga wako
 
Ana kiwewe!mana walimuandika kafumaniwa na mwandish fulani wa habari huko Arusha...hana mupya huyu!ulimwengu wa woga ulishakwisha...huwez kuzuia mashuz kwa Anal Muscles..ile ni nature lazma ushuzuke!mda wa kuzuia mitandao hakuna mana dunia imebadilika

anajua bado yuko enzi za RTD(malenga wetu). huwezi kubadilika kaa na ujinga wako. Anione mimi ndiyo mmiliki wa Face Book.
 
Back
Top Bottom