Juma Nature: Nina mpango wa kuingia kwenye siasa

Duh! Kama kweli Juma Nature ataingia kwenye siasa basi siasa ndio itakuwa imeingiliwa na Juma Nature!!!Na huo utakuwa ni mwendelezo wa kupatwa kwa siasa za Tanzania.
 
Akianza siasa asimsahau yule rafiki yake Kama sijakosea jina anaitwa KR mura muziki mnene.
 
Duh! Kama kweli Juma Nature ataingia kwenye siasa basi siasa ndio itakuwa imeingiliwa na Juma Nature!!!Na huo utakuwa ni mwendelezo wa kupatwa kwa siasa za Tanzania.
Sasa Nature ana tofauti gani na kina Lema? kuanzia Elimu mpka uelewa?
 
Back
Top Bottom