Juma nature:muungano ccm na cuf

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Ni bahati mbaya sana watanzania hatupendi kukumbuka au kuenzi kazi za wasanii wetu.leo naonyesha mfano kwa kumkumbuka msanii aliyewahi kuwa maarufu JUMA NATURE haswa katika album yake ya UGALI kuna wimbo aliimba kuhusu vurugu za kisiasa nchini zanzibar,baadhi ya maneno ya wimbo huo ni "muungano ccm na cuf,sote tunaulilia....."
kwa mwenye lyrics za wimbo huo atuwekee hapa tujikumbushe maono/ndoto iliyotimia ya Sir J.nature

Nawasilisha...
 
Hili pini linaitwa "umoja wa watanzania" Ugali 2004.
Siku ya kusaini maafikiano ya ccm na cuf ilibidi huu wimbo upigwe!
Big up sir nature popote ulipo.
 
,baadhi ya maneno ya wimbo huo ni "muungano ccm na cuf,sote tunaulilia....."
kwa mwenye lyrics za wimbo huo atuwekee hapa tujikumbushe maono/ndoto iliyotimia ya Sir J.nature

Nawasilisha...

Duh nilidhani ni MARIDHIANO baina ya CCM na CUF kumbe ni MUUNGANO!.
 
Dah kitambo sana
Wimbo unausikiliza kabisa na familia
Sio za kipindi hiki zinazohamasisha uzinzi
 
Back
Top Bottom