Juma kaseja kufungwa 5-1 misri anatufaa taifa stars?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Golikipa bora huitaji beki bora. Mohamed Mwameja ana record nzuri. Je mchango wa George Masatu (kuokoa magoli ya wazi) unatambulika tunapompa heshima M. Mwameja? NNNNNNNNNN
 
Timu si golikipa peke yake bali kuna wachezaji wengine 10 zaidi ambao hupaswa kusaidiana na kucheza kwa umoja,na ndiyo maana umoja huo ukaitwa "timu ya mpira wa miguu"
 
Kufungwa goli 5 haimaanishi makosa yote kwa asilimia 100 yalikuwa ya kaseja peke yake kuna beki pia nao wanapata lawama zao,kwahio goli hizo sio kigezo cha kutomuita timu ya taifa .kaseja huyo huyo kasaidia timu yake ya simba kuchukua ubingwa ,au unataka kwenda kukodi kipa kutoka kenya aje kudakia timu yetu ya taifa? Manake kwa kodisha sisi mechi za mchangani namba moja.
 
Simba was mis-match kwa wamisri. Kaseja mipira ya juu yoooooooooote ilimshinda, sijui kwa ufupi wake? Lakini kwa performamnce ile mbofu hatufai Taifa Stars.

Ili Taifa Stars iwe timu tunahitaji vijana wanaotaka kupata sifa za kimichezo - mfano mzuri ni timu ya Ghana na Misri. Ukiangalia timu za Afrika zenye mastaa wengi hazifanyi vizuri kwa sababu mstaa wanaona bora akiumia Chelsea au Barca etc kuliko timu ya taifa. Kwa hito tunahitaji vijana wenye nidhamu ya mpira na sio wapenda sifa kama Kaseja.
 
Kwenu watanzania

Simba - Tanzania[URL="http://www.goalzz.com/main.aspx?region=-12&team=863&team2=142"]2 : 1[/URL]Haras El Hedoud - Egypt [URL="http://www.goalzz.com/main.aspx?player=3597"]Ahmed Eid Abdelmalek[/URL] Benjamin Mkapa National Stadium
Away match
1:5Home game score3:6Total score



mhe kaseja ametenguliwa 5 huko misri usiku wa leo

kwa msaada wa kocha ajaye bado aanatufaa kurejeshwa taifa

kama ndio andika N
KAMA SIO ANDIKA S

Iliyofungwa ni Simba na si Kaseja
 
Kaseja Galasa!

JuaKali Juma sio machalaka. Kama kipa ni kigezo cha kutofungwa basi kusingekua na haja ya kuwa na defender au midfielder.Simba wanashida ya kukosa mabeki ambao ni makini na viungo wakabaji.Mfano goli la tatu ni kosa la midfielders ambao hawakukaba kwenye zone yao mpaka mchezaji akiingia ndani ya 18 ndipo akakabwa vibaya na kuwa penati, na goli la nne ni kosa la beki kuruhusu krosi(Juma Jabu)ambaye hukabia ndani sana na mabeki wa kati kushindwa kuokoa mpira ule wa juu na goli la tano ni kosa la mabeki kushindwa kublock shuti kali toka kwa striker.Kwa hio sikubaliani na watu wanaosema Kaseja si kipa bora Tanzania ila Simba yenyewe wanahitaji kusajili mabeki wazuri na viungo wakabaji.Timu work ni kitu kizuri licha ya kwamba kufungwa magoli ya kizembe ni tatizo kubwa kwa makipa wetu wengi hapa bongo na Kaseja kwa hilo la kutofungwa magoli ya kizembe ana sifa hio.
 
Kwenu watanzania

Simba - Tanzaniahttp://www.goalzz.com/main.aspx?region=-12&team=863&team2=1422 : 1Haras El Hedoud - Egypt Ahmed Eid Abdelmalek Benjamin Mkapa National Stadium
Away match
1:5Home game score3:6Total score



mhe kaseja ametenguliwa 5 huko misri usiku wa leo

kwa msaada wa kocha ajaye bado aanatufaa kurejeshwa taifa

kama ndio andika N
KAMA SIO ANDIKA S

Swali halina mashiko;
Cassilas alifungwa nne na liverpool je hafai? jibu lako litazaa maswali mengine
 
Swali halina mashiko;
Cassilas alifungwa nne na liverpool je hafai? jibu lako litazaa maswali mengine

Bado hujajibu swali,swali ni kwamba Kaseja kafungwa 5 je anafaa kuwa ktk Maximo stars?Huyo Cassilas kafungwa idadi ya Ivo Mapunda na si ya Kaseja!Kwa msingi huo Mapunda ni bora ya Kaseja.
 
sijapata jua kaseja anapendwa kwa nini lakini ni kipa asiyetufaa kabisa! hana chochote alichofanya katika ulimwengu wa soka zaidi ya majungu no wonder hamna timu hata ya comoro inayomtaka! hana height, hana statute, makipa bora wote duniani wana statue na height na wanaokoa michomo ya wazi! kama suala ni beki pia mbona wengine hamsemi beki ndio zinawaangusha? ivo mapunda hata akapat chance ya kucheza international football kule ethipia! sssssssssssssssssssss
 
sijapata jua kaseja anapendwa kwa nini lakini ni kipa asiyetufaa kabisa! hana chochote alichofanya katika ulimwengu wa soka zaidi ya majungu no wonder hamna timu hata ya comoro inayomtaka! hana height, hana statute, makipa bora wote duniani wana statue na height na wanaokoa michomo ya wazi! kama suala ni beki pia mbona wengine hamsemi beki ndio zinawaangusha? ivo mapunda hata akapat chance ya kucheza international football kule ethipia! sssssssssssssssssssss
Usipate pressure kiongozi. Kaseja anakuwa merely over-rated na arrogance ya watu wa pale msimbazi ambao ukiangalia arguments zao humu jamvini hakuna hata mmoja anayeonekana kuwa na uelewa wa tafsiri ya kitu kinachoitwa mafanikio (on and off the pitch).
 
Back
Top Bottom