Julius Uko wapi?

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
WanaJF

Namtafuta rafiki yangu mmoja nilisoma naye miaka hiyoooo Shaban Robert na tulikuwa tunaishi maeneo ya karibu kule msasani kwa Jina ni Julius Magembe popote alipo aniandikie miganiko@undp.org

Asanteni
 
Mambo ya Shaaban Robert na u food evening (WTFWT?) muulize Nyani Ngabu :)
 
Mambo ya Shaaban Robert na u food evening (WTFWT?) muulize Nyani Ngabu :)

Huyu yuko banned ngoja akitoka nitaPM, ama kama ana ID nyingine atanisadia kumpata huyu jamaa yangu wa zamani.
 
Wewe ndio ulikuwa kibonde wetu. Nakumbuka siku moja ulipigwa na demu...shame on you.
 
mashori waa IST mpaka leo bado wananitafuta na mie sina nao time...
 
julius magembe ninaemfahamu alikuwa anaumwa mental constipational
 
una biashara gani wauza mpaka utafutwe? na watoa namba za tIGO kwa watu.......
 
Kama huna cha kunitafutia basi hilo bandiko langu halikuhusu. Keep it movin'...aight?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom