Julius Nyerere international airport

Nini cha ajabu hapo kaka? Ndio standards za uwanja wetu wa kimataifa, hilo dogo sana ungechunguza zaidi ungeona mengi
 
Kitu za namna hii ni upuuzi huu!

Sijaelewa mtoa mada alikuwa na lengo gani katika kutoa hii picha!

Kinachokuthibitishia kuwa hapo ni JNIA ninini?
Hiyo banner ni kitambaa/ karatasi tu, it could be taken anywhere coz its portable!

Acheni ujinga wa kuchukua picha za kitoto za FB na kuzileta hapa broda, mnapunguza hadhi ya majamvi na kuonekana wavivu wa kutafuta sources za habari!

Mnaitukanisha nchi yenu bure mbele za wageni kwa kuidharau hata kwa vitu vidogo kama viti!~!
 
Hata kule passenger's lounge viti vimechoka na bado vimeandikwa DIA (jina la zamani). Kwa kweli uwanja wetu unahitaji renovation kubwa. Tunashindwa hata na wa Kenya. Maybe terminal III ikikamilika huu ufungwe kwa muda ili waufanye kuwa International Airport.
 
Mbona imekuuma sana Kaka au were meneja wa uwanja?
Kitu za namna hii ni upuuzi huu!

Sijaelewa mtoa mada alikuwa na lengo gani katika kutoa hii picha!

Kinachokuthibitishia kuwa hapo ni JNIA ninini?
Hiyo banner ni kitambaa/ karatasi tu, it could be taken anywhere coz its portable!

Acheni ujinga wa kuchukua picha za kitoto za FB na kuzileta hapa broda, mnapunguza hadhi ya majamvi na kuonekana wavivu wa kutafuta sources za habari!

Mnaitukanisha nchi yenu bure mbele za wageni kwa kuidharau hata kwa vitu vidogo kama viti!~!
 
383358_297020670337494_100000886912967_846099_1304987910_n.jpg

Kitu za namna hii ni upuuzi huu!

Sijaelewa mtoa mada alikuwa na lengo gani katika kutoa hii picha!

Kinachokuthibitishia kuwa hapo ni JNIA ninini?
Hiyo banner ni kitambaa/ karatasi tu, it could be taken anywhere coz its portable!

Acheni ujinga wa kuchukua picha za kitoto za FB na kuzileta hapa broda, mnapunguza hadhi ya majamvi na kuonekana wavivu wa kutafuta sources za habari!

Mnaitukanisha nchi yenu bure mbele za wageni kwa kuidharau hata kwa vitu vidogo kama viti!~!

Hilo si jambo la kutetea hata kidogo. Uchovu uliopo pale uwanjani unasikitisha. Mjengo wa uwanja wetu ni wa kisasa ukilinganisha na baadhi ya viwanja kama vya Nairobi licha ya udogo wake ila wenye majengo ya kiwango cha kimataifa kilichojengwa awamu ya kwanza ya Nyerere. Leo huwezi kuamini karibu elevator zote hazifanyi kazi. Enzi hizo palikuwa na lounge ambapo wasindikizaji na wapokeaji walikuwa wanasubiria na kupata kile moyo unapenda, nimeshtuka sasa hivi hata njia imefungwa.

Kama uliondoka Dar miaka zaidi ya mitano iliyopita bila kurudi ukirudi na kutua DIA huwezi kuamani kama ndio airport ile tuliyokuwa tunajivunia yakitu madege ya Lufthansa, Sabina nk. Mimi mojawapo nilishtuka sana nilipotua hapo wakati natoka nje, ni aibu wala si kitu cha kutetea. Picha hiyo ni mfano mdogo tu wa matatizo makubwa yaliyopo.
 
at least the run ways are good......
terminal iii mtaisikia kwenye radio za fm tu!!
itaanzwa kujengwa 2013
 
Sijawahi kuona airport ovyo kama ya Tanzania na nimewahi kutua nyingi

Airport giza! Airport pekee ambayo check inn ni baada ya kukaguliwa na huruhusiwi tena kutoka!
 
Mbona imekuuma sana Kaka au were meneja wa uwanja?

Watu wengine mnaongea maneno ambayo hamna uhakika hamna anyetetea lkn pakajimmy alilosema ni kuwa ninini ambalo linaonyesha hapo ni JNIA. Na we unayejifanya unajua eti elevetor zote zimekufa uache uzushi umepita lini au unajifanya unajua sasa mi nimepita jana na nimetumia hizo elevetor japo zilikuwa hazifanyi kazi kipindi cha nyuma na hii ni kawaida kwani hata magari tuliyonayo huwa yanaharibika. Pia kwenda juu kuangalia wanaosafiri eti kupata ile kitu roho inapenda, hivi upo dunia ya wapi? Sept 11 huijui na wengine mligeuza pale kama kijiwe cha kupotezea muda badala ya kufanya kazi. Wekeni vitu vya maana. watu walilalamika kuhusu AC saizi tena wanasema eti imezidi. Wabongo wanafiki sana
 
Sijawahi kuona airport ovyo kama ya Tanzania na nimewahi kutua nyingi

Airport giza! Airport pekee ambayo check inn ni baada ya kukaguliwa na huruhusiwi tena kutoka!

Vipaumbele vya hao wanaojiita Viongozi katika nchi yetu vimekaa kushoto kushoto ndiyo maana kila kitu chetu kiko shaghala baghala. Wanasafiri kila siku na kuona Airports za wenzetu zilivyo nzuri lakini hawachukui hatua zozote za kuifanyia matengenezo ile iwe katika hadhi ya kimataifa.
 
Hiyo rushwa ndo haina mfano! Too much hasa mambo mengine na ni aibu.
 
Kitu za namna hii ni upuuzi huu!

Sijaelewa mtoa mada alikuwa na lengo gani katika kutoa hii picha!

Kinachokuthibitishia kuwa hapo ni JNIA ninini?
Hiyo banner ni kitambaa/ karatasi tu, it could be taken anywhere coz its portable!

Acheni ujinga wa kuchukua picha za kitoto za FB na kuzileta hapa broda, mnapunguza hadhi ya majamvi na kuonekana wavivu wa kutafuta sources za habari!

Mnaitukanisha nchi yenu bure mbele za wageni kwa kuidharau hata kwa vitu vidogo kama viti!~!

mzee umeshawahi kuingia toi za pale..?
 
Vipaumbele vya hao wanaojiita Viongozi katika nchi yetu vimekaa kushoto kushoto ndiyo maana kila kitu chetu kiko shaghala baghala. Wanasafiri kila siku na kuona Airports za wenzetu zilivyo nzuri lakini hawachukui hatua zozote za kuifanyia matengenezo ile iwe katika hadhi ya kimataifa.

Mkuu jamaa wakisafiri uwa wanajifunza mambo ya kipuuzi tu! Mambo yenye kuleta manufaa kwa nchi wanajifanya hawayaoni!! Mfano mimi uwa najiuliza sana huyu Kikwete na serikali yake kiujumla wameenda sana US; US kuna mfumo mzuri sana wa masuala ya kodi na mapato kupitia IRS; pia kupitia IRS inawezekana mtu kuwa tracked down kwenye masuala ya kipato na kodi, na tena kama pesa unazipata kwa michezo michafu utajulikana tu (labda uziweke chini ya godoro au kuzichimbia).

Kwa Tanzania ni kawaida kabisa mtu anakua na na tsh milioni moja benki leo, kesho anaenda na bilioni moja; hakuna cha TRA wala cha nani ambao wanaweza kumuuliza huyu mtu ametoa wapi pesa hizo kwa kipindi kifupi? Pia kwa Tanzania ni kawaida kwa mtu kumuona ghafla kutoka kwenye toyota mark two hadi kwenye S-Class 550!! Na hapo hakuna hata mtu au taasisi itakayomuuliza ametoa wapi pesa ya kununua gari hilo. Haya yote jamaa wakitembelea nchi za wenzetu wanayaona, lakini wanajifanya hawayaoni!

Kwaiyo kinachoendelea JKNIA ni muendelezo wa tamaduni za watawala wa hii nchi!!
 
Kitu za namna hii ni upuuzi huu!

Sijaelewa mtoa mada alikuwa na lengo gani katika kutoa hii picha!

Kinachokuthibitishia kuwa hapo ni JNIA ninini?
Hiyo banner ni kitambaa/ karatasi tu, it could be taken anywhere coz its portable!

Acheni ujinga wa kuchukua picha za kitoto za FB na kuzileta hapa broda, mnapunguza hadhi ya majamvi na kuonekana wavivu wa kutafuta sources za habari!

Mnaitukanisha nchi yenu bure mbele za wageni kwa kuidharau hata kwa vitu vidogo kama viti!~!
Ukisema uongo leo, kesho itakugharimu kuusema ukweli.
 
mhh bora mie ninae tumia reli ya kati...nitawawawekea ya huko mlinganishe
 
Kama TZ kuna vivutio vya utalii, basi pia tuna viaibu vya nchi.....JNIA ni mojwapo ya fedheha ya TZ
 
Hivi jina ni Julius Kambarage Nyerere Intenational Airport (JKNIA) au Julius Nyerere Intenational Airport (JNIA)?
 
Back
Top Bottom