Julius Nyaisanga yuko wapi?

maskani yake ni kihonda OLD DODOMA ROAD hukoo mji kasolo Meli(MOROGORO),anagonga mzigo ABOOD MEDIA....
 
Aisee bac mbali na dunia,ina maana Julias Nyaisanga alishatangulia mbele za haki!?,hebu tujuze kamanda
mmmh! Jamani atlas copco ina maana alivyofariki hukujua? mbona alitangazwa sana, walimzika kwao mkoa wa Mara. ni kitambo kidogo tokea Julius Nyaisanga alivyofariki dunia
 
mmmh! Jamani atlas copco ina maana alivyofariki hukujua? mbona alitangazwa sana, walimzika kwao mkoa wa Mara. ni kitambo kidogo tokea Julius Nyaisanga alivyofariki dunia
Haki vile ndio nasikia leo,coz kuna kipindi nikiwa Moro nilikuwa namsikia Sana radio Abood,Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani huko alipo,Amen
 
Mimi naishi morogoro huyo mtu alifariki muda mrefu tulishamsahau na nilihudhuria msiba wake hivyo si jambo nahisi ila ni ukweli hatunae miaka kadhaa sasa
 
Wenzake wakitoka Radio One wanaenda kufanya kazi nje, yeye kaenda Moro. Ulevi mbaya jamani. Alikuwa mlevi sana hadi IPP wakamfukuza kazi
alienda Germany now yuko Abood Fm
ulikuwa unakunywa nae kwani???
 
Baada ya kuondoka ITV na Radio alienda Redio Dutch Welle. Huko nako amekuwa kimya sana. Maryland na maeneo jirani hatumuoni tena, sijui yuko wapi siku hizi. Mwenye info atujuze.
Du! arifariki siku nyingi miaka kama 4 au 3 iriyopita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom