Julius Nyaisanga yuko wapi?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Baada ya kuondoka ITV na Radio alienda Redio Dutch Welle. Huko nako amekuwa kimya sana. Maryland na maeneo jirani hatumuoni tena, sijui yuko wapi siku hizi. Mwenye info atujuze.
 
Ni mkurugenz wa ABIID MEDIA,kipind anachorusha hewani ni cha mizik ya dans ya zaman kama kile cha radio one
 
Wenzake wakitoka Radio One wanaenda kufanya kazi nje, yeye kaenda Moro. Ulevi mbaya jamani. Alikuwa mlevi sana hadi IPP wakamfukuza kazi
 
..Kama jamaa kweli yupo Abood Fm basi kafulia vibaya......
:help:
 
Unce J yupo Morogoro. Kiukweli wengi tulikua hatukosi vipindi vyake, huwezi amini sauti na manjonjo yake bado viko palepale ingawa kimuonekano ni kama amefulia kuja Abood FM morogoro. Inawezekana package imemvutia na post ya ukurugenzi Ukizingatia mmiliki wa hicho kituo ni yule mmiliki wa mabasi ya Abood. Wana TV station pia, kwa maelezo yake alichukuliwa kuja kufanya mabadiliko ili Abood Media iendane na teknolojia ya kisasa na kua Media bora nchini japo hayo mabadiliko yanaenda taratibu lakini wanajitahidi kwa kuwa na vifaa vya kisasa. Karibuni mumtembelee hapo Morogoro.
 
Kama upo moro au mlandiz mda huu saa 3 asubuh anarusha kipind cha za kale bado zpomsikilizaaaaaa
 
Weeeeeee Pasco acha uzushi, Nyaisanga anapiga kilaji kama kawa kama dawa nimemuona hapa Moro kwa macho yangu anapiga kilaji
 
Sio ishu jamani mambo mengine ni maisha binafsi ya mtu, kilicho muhimu hapa ni malengo ya mtu binafsi. Ulaya kitu gani siku hizi maisha yapo hapa hapa bongo, kikubwa ni kujua mitego imara ya kutega. Mbona pamoja na kuishi UK sana tu Abdallah Majura yupo Dodoma anapiga mzigo kwenye FM Radio moja hivi?
 
Sio ishu jamani mambo mengine ni maisha binafsi ya mtu, kilicho muhimu hapa ni malengo ya mtu binafsi. Ulaya kitu gani siku hizi maisha yapo hapa hapa bongo, kikubwa ni kujua mitego imara ya kutega. Mbona pamoja na kuishi UK sana tu Abdallah Majura yupo Dodoma anapiga mzigo kwenye FM Radio moja hivi?

Majura ndiye mmiliki wa hiyo FM Radio..

Uncle J yupo Morogoro Abood FM .. Sijui vizuri maana ya neno kufulia, lakini ukweli ni kwamba yupo anaendelea vizuri na maisha yake na familia yake pale Mwenge Kijijini wanabadilisha mboga na watoto wanakwenda shule..

Suala la kilaji ni la kwake binafsi - Ambacho naweza kusema tu ni kwamba siku hizi "amepunguza" sana kilaji kwa sababu zake binafsi...

Let us wish him well kwa maana ni mmojawapo wa "ICON" katika tasnia ya Habari hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla...
 
Jamaa yupo Morogoro akipiga kazi na Abood FM Radio. Ni moja ya makampuni ya Abood Aziz mbunge wa Morogoro Mjini...na ana kipindi chake kama kile cha zilipendwa radio Tanzania. Jamaa namkubali toka kitambo sana enzi za BP ni Zaidiiiiii...ilikuwa noma kwa sababu alikuwa anaweka ngoma kali za kipindi kile cha kwasakwasa na nzawisaaaa...wakati kina kanda Bongoman,Bozi Boziana,Alain Kounkou na wengineo enzi za 90's wapo juu!!
 
Yooote mliyosema wadau ni kweli tupu...uncle j-nyaisanga almaarufu mitaa ya maryland mwenge kama "babu" anapeta kitaa cha moro abood fm na tv....

Kufulia mie siamini kama kweli kafulia...ila napenda kusema kuwa "naheshimu sana maamuzi ya babu" kwa kuamua kuwa tofauti na mitazamo ya wanachi wengi wanaoamini kuwa maendeleo au kukua kitaaluma ni pamoja na kwenda nje/ngambo ya nchi yako...

Babu ana-mtazamo tofauti na umati wa wengi kwa hiyo anaonekana kuwa amefulia...ambitions za mtu ziheshimiwe jamani.... Kuhusu mitungi..babau amebadilika sana sio kama yule wa zamani.... Naamini pia alikuwa-frastrated na waajiri wake wa zamani...ndio akaamua kunywa-kwa-kutowajibika... Ila sikuhizi anapiga bwax la ki-wajibikaji.... Big up babu...jogo hafi kwa utitiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom