Mbona nasikia, jamaa "alishawakaga" zamani?
Rweyunga na Rugemalila Mutahaba(cloudsfm)hawa watu mbona wanatupiwa midomo mibaya sana?watafika kweli?kazi kwao!
kwa morogoro, msiba upo kihonda maeneo ya kwa mkomola, alipokuwa anaishi marehemu.Namkumbuka miaka ya nyuma ...... Mango Garden Kinondoni.
Msiba uko wapi Mkuu.
RIP Nyaisanga
Rweyunga aliposimamishwa kutangaza baada ya kutapikia makaratasi ya taarifa habari kutokana na kupiga kilevi kupita kiasi alipiga magoti sana akarudi ITV baada ya kuwa nje kwa muda mrefu.
Lakini Rweyunga alichangia sana Nyaisanga kuondoka ITV na hadi anahamia Abood TV walikuwa paka na panya kutokana na mambo aliyofanyiwa. Leo Nyaisanga kafia ukimbizini unasemaje Rweyunga hajachangia