Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo

Mkuu wangu ataachaje kutoka mapovu huku chama chake kimetoa kauli ya kibaguzi huko Uzini?

Hasomi alama za nyakati,Jusa alidhihirisha kuwa CUF ni chama cha wapemba waislamu,ningekuwa SAUT muda huu bora ht ningeenda villa park
 
Huyu kjana mwenzetu anatakiwa afanyiwe maombi kwani ameshapoteza dira. Namshangaa anashindwa kwenda Musoma,Tanga ,Mtwara ambako ofsi zimeshafungwa baada ya wanachama na viongozi kuji uzuru nyadhifa zao but anapoteza muda kuja huku chuoni SAUT. MWL NYERERE ALIPATA KUSEMA "UKWELI HUWA HAUPENDI KUPUUZWA,UKIPUUZWA HUWA UNATABIA YA KUJILIPIZA KISASI." Anacho kifanya Mtatiro nisawa na tembo kujificha kwenye shamba la karanga.
 
Amepigiwa simu kwamba ofisi ya CUF Musoma Mjini imetoka kufungwa kwa kukimbiwa na viongozi wake, yeye amesema hao walishafukuzwa uanachama. Ikumbukwe kwamba hapa juzi alipoambiwa kuhusu wanachama kujiondoa CUF, alisema hao ilikuwa waje kufukuzwa kwenye kikao kijacho!
 
Ninyi vijana wageni Chadema msichokielewa ni kuwa mnapo inasibisha CUF na waislam au kejeli zenu Uislam cum udini hamjui kuwa kuna wanachadema wa ngazi za juu kabisa waislam wenye mapenzi na chama chao......Mtaje Mzee Bob Makani, Said Afri, Zitto Kabwe, Jafari Kasisiko,....hao wote ni waislam watanzania bara....hivi hamuelewi athari ya matusi yenu kwa CUF na kuinasibisha na Uislam!

Hao ni Wasomi hawababaishui na huu ubaguzi wenu wa kizushi. Wanafahamu maana ya Uislamu na pia wanafahafika nini maana ya Ukristo. Mnaopata shida ni ninyi wazee wa majungu na vijani wa vijiweni. Wako mbali sana na huo ujuha wa itikadi za kidini uliotamalaki kwenye nia zenu na mawazo yenu.
 
Back
Top Bottom