Julius mtatiro naye ni mvuta bangi, sijui kama ameacha!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Hana tofauti na wanafunzi wa Udom, akiwa udms bangi ilikuwa ndio starehe yake. Kipindi hicho alikuwa radical sana, kumbuka wakati ule anafuatilia mikopo ya wanafunzi hesbl, alikuwa anavuta kwanza then ndio anakenda kufanya mipango ya migomo.
Kama huamini acha na nenda zako, usichangie upupu kutokana na fikra zako.

Tahadhari kwa mods: nawaombeni msiipeleke sehemu ambayo sina access, nina uhakika na nilichokiandika. Acheni watu wachangie na mtasikia mengi. Acheni hila zenu bana, kama ni jamaa yenu acheni tu kwani penye ukweli uwongo hujitenga.
 
kuna msemo usemao ukitembea na mwizi nawe utakuwa mwizi! sasa wewe umesalimika mkuu! nazingatia umemuona si mara moja, kiasi kwamba umeji-comit ushuhuda kwa mod.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom