Julius Mtatiro kushitakiwa kwa uchochezi

kuna habari nimepata hivi punde kwamba wanafunzi wa Primary/Secondary nao wamegoma leo Dar ili kushinikiza serikali kuwaachia Je ni kweli???????

Ni watoto kutoka shule tatu za Ilala Boma, Tabata na Uhuru mchanganyiko. Ilikuwa kama coicidence tu, wote waliandamana wakakutana ofisini kwa kandoro wakidai haki yao ya kufundishwa
 
naona kuingika wewe tu bas

na thread iliyokuwa inakuhusu umeamaua kuihamisha

makubwa haya

GT mbona unataka kurudisha watu nyuma?? Kwani ukikubali maamuzi ya ma mods utakatika sikio??? kuw amtulivu toa hoja kwenye thread husika na si kutaka kupoteza mitazamo ya wanajamvi kwa kuanza kujadili mambo yako na mwanakijiji... WE FEDUP
 
Huyo Odong alikamatwa jumamosi pale maeneo ya cafeteria akiwa yupo busy na simu yake, inaonekana wale wat waliokuja kumchukua walikuw ahawamfahamu lakini kuna dada mmoja alikuwa nao na akaenda akamshika bega punde tu wakaja jamaa kama wanne hivi wakamchukua na kutimua naye.... Ila sometimes dogo naye anajitakia mimi sioni kwa nini yeye ajiinvolve kwenye kushinikiza migomo while yeye analipiw ana serikali yake ya UGANDA i mean sioni mantiki ya yeye kujifanya ana uchungu na wanafunzi wa kitanzania kwa kupika migomo kama angekuwa anapika migomo ya kutetea wanafunzi wenzake wanaotoka nje ya Tanzania hapo ningemuona shujaa lakini kwa hili kwa kweli sipo pamoja naye... na nasikia alishafukuzwa KENYA sasa tusishangae hata hapa akafukuzwa kimoja
 
kuna habari nimepata hivi punde kwamba wanafunzi wa Primary/Secondary nao wamegoma leo Dar ili kushinikiza serikali kuwaachia Je ni kweli???????

Mmmh, mkuu hii nadhani si kweli, just kwa kureason some facts. Hapa JF imekuja kama news mpya saa 10.46 jioni ya leo. Hao madenti waliipata lini hadi wajiorganise kugoma? Ina maana JF wamelala kiasi hicho such a way that news inayofanyiwa kazi na wanafunzi wanaoingia shule asubuhi (ambayo inamaanisha wameipata jana au nyuma zaidi), iwekwe kwa mara ya kwanza hapa jamvini saa 10.46 jioni?? Mimi sina ushahidi, lakini siamini hilo! Au umeona post imelala ukataka kuiamsha kimtindo?
 
naona kuingika wewe tu bas

na thread iliyokuwa inakuhusu umeamaua kuihamisha

makubwa haya

GT, inaonekana wewe kuwa ni mchokozi.
Hivi unajionaje unapomchokoza mtu halafu hakujibu lolote?
Mie ningekuwa wewe ningejitoa moja-kwa-moja kuwa member wa JF.
 
Are these evil actions happening under JK's watch ama mie sijaelewa mada inasemaje ? Is this JK aliyesema ni mvumilivu na hata akawapa ma EPA nafasi ya kulipa pesa kwa muda wao ?Jamani kumkamata Mtatiro kutasaidia kumaliza migogoro vyuoni ? Huyu ni wa Dar na kuna wengine wengi katika vyuo vingine je nako watafanyaje ?
 
GT, inaonekana wewe kuwa ni mchokozi.
Hivi unajionaje unapomchokoza mtu halafu hakujibu lolote?
Mie ningekuwa wewe ningejitoa moja-kwa-moja kuwa member wa JF.

Plse Mwanakijiji usipoteze muda wako kumjibu huyu jamaa GT, naona kuna kitu anatafuta kwako....
 
Ni watoto kutoka shule tatu za Ilala Boma, Tabata na Uhuru mchanganyiko. Ilikuwa kama coicidence tu, wote waliandamana wakakutana ofisini kwa kandoro wakidai haki yao ya kufundishwa

Kama hii ni kweli basli kweli mageuzi yanakaribia Tanzania.
 
Huyo Odong alikamatwa jumamosi pale maeneo ya cafeteria akiwa yupo busy na simu yake, inaonekana wale wat waliokuja kumchukua walikuw ahawamfahamu lakini kuna dada mmoja alikuwa nao na akaenda akamshika bega punde tu wakaja jamaa kama wanne hivi wakamchukua na kutimua naye.... Ila sometimes dogo naye anajitakia mimi sioni kwa nini yeye ajiinvolve kwenye kushinikiza migomo while yeye analipiw ana serikali yake ya UGANDA i mean sioni mantiki ya yeye kujifanya ana uchungu na wanafunzi wa kitanzania kwa kupika migomo kama angekuwa anapika migomo ya kutetea wanafunzi wenzake wanaotoka nje ya Tanzania hapo ningemuona shujaa lakini kwa hili kwa kweli sipo pamoja naye... na nasikia alishafukuzwa KENYA sasa tusishangae hata hapa akafukuzwa kimoja

Ndo maana Africa hatuendelei kwa sababu ya ubinafsi!nampa heko Odong kwa kupigania haki ya wenzake bila kujali anatoka taifa gani hapa Africa
 
Huyu Mtatiro hamalizi kusoma, ana nini huyu mtoto? may be anataka kugombea urais 2010!
 
Ndo maana Africa hatuendelei kwa sababu ya ubinafsi!nampa heko Odong kwa kupigania haki ya wenzake bila kujali anatoka taifa gani hapa Africa

Pale Udsm kuna wanafunzi wa kiganda zaidi ya 50, huwezi kujiuliz akwa nini wao hawajihusishi kwenye hii migomo kila siku?? mimi naamini kabisa wale wanajua walichokifuata pale chuoni na ninaamini kwabisa huyu odong anatafuta umaarufu usiokuwa na maana, jiulize tu kwa nini alifukuzwa Kenya?? haitamsaidia kushindana na Serikali ni kazi picha nzuri angalia pale bungeni tu waheshimiwa wapinzani wanapigia kelele vitu kibao lakini jamaa wametulia tuliii wakipitisha hoja wao ndo imepita na kura wanapigiwa kurejeshwa madarakani
 
Investigator Kuhani alipitiwa na kuteleza kwasababu ya utu uzima tumsamehe tu Kuhusu Dr Masau!!

Ni wapi alipokiri kuwa alikosea? Au wewe unazungumza kwa niaba yake? Na kama alikosea kama unavyosema wewe, je, aliomba radhi kwa kosa lake? Waungwana huomba radhi wakoseapo....vipi Mr. Investigator, au yeye yuko above everybody and everything?
 
Huyu Mtatiro hamalizi kusoma, ana nini huyu mtoto? may be anataka kugombea urais 2010!

Mtatiro kesha maliza anasubiri kuvaa joho tu mwishoni mwa mwezi huu, nafikiri yeye kinachomcost ni kuendelea kuwashutumu watu kazaa wa juu wa serikali kupitia mgongo wa TAHLISO ambapo yeye ni katibu mkuu
 
Ok. asante.

Inakuwaje anaendela kuwa katibu mkuu wa TAHLISO? I mean anaendelea kutambulika kama mwanafunzi wa elimu ya juu hadi baada ya graduation? au tayari ana admission ya graduate studies?

Na hayo maneno ya shutuma aliyoyatoa ni maneno gani?
 
Back
Top Bottom