George Maige Nhigula Jr.
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 470
- 149
Julius Mtatiro
Zitto,
nadhani Nape anaongea na kupinga posho bila kuamini anachokisema. Bunge limetoa wapi fedha nyingi hadi lianze kugawa maposho yaliyopitiliza? Nani analipangia bunge bajeti? Ni serikali! Serikali ya chama gani? Serikali ya CCM! Kwa nini serikali ya CCM inapanga excess budget katika shughuli za bunge wakati sekta ya afya haina bajeti ya ziada? Hivi kama serikali ingeipangia bunge bajeti halisi ya viwango vya kimatumizi vya kawaida, leo wangejiongeza posho kutoka fungu lipi? May be we are fighting the enemy we dont see and know!
Mimi naamini katika hili la kuongezeana maposho serikali ndiyo tatizo. Ikiwa serikali inajiamini na haiofii kutekeleza wajibu wake kwa kuwatendea haki wananchi haitaogopa bunge bila sababu. Kwa sababu serikali iliyoko madarakani ni dhaifu, the only thing it wil do is to make an alliance with bunge na wabunge ili isitetereshwe na kuhojiwa sana.
Kuongezwa kwa posho hizi hasa kunawalenga wabunge wa CCM, wao ndio wengi bungeni na wao ndio wana uwezo mkubwa wa kutikisa serikali na ikatikisika hasa kuliko wabunge wa upinzani walio wachache. Na kutokana na migogoro sugu iliyo ndani ya CCM na kutokana na wabunge wake kugawanyika lazima serikali "ijikombe" na kuwapooza. And to be honest, this is the winning technic, kumbuka pesa inawa-fool binadamu na viongozi wengi sana, tena pale inapokuwa ni pesa ya kutosha.
To give an "MP" 200,000/- per day in a country where a techer is paid 200,000 monthly is crazy, and may be we are not thinking again. Anayesababisha haya ni serikali, kama angekuwepo Mwalimu Nyerere angekataa kuongeza posho, na bunge lingemteteresha angelivunja na uchaguzi ungerudiwa na watanzania wote wangemuunga mkono, wangemchagua kwa kishindo. Wananchi ndiyo kila kitu. Kikwete anajua akiwatetea watanzania katika hili na incase akiundiwa zengwe likimshinda, akivunja bunge anajua hawezi kurudi tena. Hapa ndio pana tatizo, umesahau? SERIKALI LEGELEGE! SERIKALI ISIYOJIAMINI? HAIWEZI KUOKOA WANANCHI WANAOTESEKA. Kwa hiyo msimamo wa Nape juu ya posho sio lolote, chama chake na serikali yake ndio vimeongeza posho na si vinginevyo.