Julius mtatiro aeleza kinachomkera cuf

Kwakweli mjada umekua mzito mpaka watu wana-intergrate. Naweza sema Zito amekuala pesa za mafisadi, Anahama na juzi Kanunua
Horse Spot, na mambo mengine mengi tu kafanyiwa na CCM-mafisadi. Hana issue tena kisiasa na ameanza kufilisika kisiasa. Kwakweli mtatiro inatakiwa ahamie
Umeshachakachua mada!
 
Mtatiro=CUF=CCM. Kwa ujumla hakuna jipya, labda kama mnataka kuangalia uwezo wenu wa kujadili maada zilizo wazi.

Zito tayari alishapata ajali ya kisiasa tangu alipo kula pesa za Mafisadi papa. Amehongwa magari, pesa, viwanja na mengineyo mengi. Huyu jamaa ni kama wale mademu wa hapa Dar, wanaokula pesa za mapedeshee.
 
Huyu Mtatiro asitudanganye, yeye ni muislam tena wa swala tano nimemshuhudia live STAR TV ameungua kwenye paji la uso JULIUS NI JINA ALILOKUWA NALO KABLA HAJASILIMISHWA NA WAKINA LIPUMBA ILI KUJIUNGA NA CUF. Kuhusu kampeni zake za kunusuru chama cha kiislam zitagonga mwamba kwani hana oratory power kama tulivyoshuhudia ubungo. kwa upande wa katiba karibu kwenye mapambano ila ninawasiwasi nawe kwani pale STAR TV ulikuwa uko katika mrengo wa kiitikadi
 
Mbona na Julius Mtatilo ni muislamu? Yaani anataka kutuzuga kwa sababu anaitwa Julius wakati ni mtu wa swala 5? CUF aka ccm B ni chama cha kiislamu period kila mtu anajua.
 
Mtatiro ana safari ndefu sana$$$ kisiasa angejaribu chadema au nccr amewekwa pale kama geresha tu wao wanamzomeaa hajuii tuu...wenzake wana ajenda zaidi hiyo anayoijua yeye....kama anataaka test zali aombe aawe anaenda kuomba misaada wafadhili uk na dubai wale wenye chama chao aone kama hata atakuja kuwaonaa khafirii haitakuja kubadilika....anapoteza muda wake
 
Kumbe uislam unatisha kiasi hicho?

Duh! Julius akiwa muislam tunaacha kabisa kujadili hoja tunaanza udini?

Tujadili alichosema siyo dini yake?

Nani anayejua kwamba Slaa ni mkristo kweli...si ukristo wake uliisha alipo zini?

Embu acheni kujadili dini..hapa TZ hakuna mwenye kufuata dini hata kidogo?

Wengi tunakutana baa tunataka maisha bora period?

Dini wakati wa kuoa, nakuomba dua period (traditions tu) hakuna la maana?
 
Mbona unaonekana Unajazba sana. Kama huwezi siasa kajalibu kuwa Doctor wa Mifugo.
 
I have the same feeling that CUF is just a normal political party, It is clear that many follower of this very party have different idea regarding this party, If Lipumba and Seif were serious enough to eradicate this problem, it wouldnt be as it is today. They like and enjoy the idea of their followers that CUF is for Islam. Lipumba did his campaign (2010) in areas where Islams are populated most.

The best way to solve the problem is for Lipumba and Hamad to step down, and some other member to step up.

In politics however how much we can rationalize our reasons still people judge differently, and their judgement have big impact is such a way that it can destroy in areas were it was not supposed to be destroyed.

Not far in future even the top leaders of Chadema need to deal with these problem intelectually not just assuming that people understand...no...is to do exactly as they want even if by using propaganda 'danganya toto' this kind of tactics is well employed in politics anywhere.

Mtatiro you made big big mistake to contest with Mnyika, I wished to have you in the house-Dodoma! You made wrong choice, you were supposed to stand with Azan!! you decided not to because of your secret agenda...
 
Bro can you expound the highlighted quotes! Thanks
 
Hii inatufunza kuanzia sasa kwamba tuache kuitambua CUF kama chama cha waislamu na chadema kama chama cha wakristo. sisi hapa JF ni sehemu ya watanzania hivyo tunaweza kuanza kuamsha moto wa kukataa kupandikiza mbegu za kidini kisha mbegu ya kukataa udini ikachipua na kumfikia mtu mmoja mmoja katika jamii.

Good!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani hajui kwamba sasa hivi wako kwenye mbawa za CCM! Pamoja na hiyo hari yote aliyonayo, atambue chama cha wananchi CUF kupata heshima kwa hali ya sasa, mhh, not now! Wameshasema wako pamoja na nguruwe kula shamba!
 
Chapa lapa wewe Kibwengo achana na mimi!

Mkuu,

Hongera sana, naona urefu wa I am full time……..umepungua. yale mengine umepitisha uamuzi mzuri wa kuyaacha.
Hongera sana mkuu na hili lililobaki litaondoka!
well done, Rev.
 
Back
Top Bottom