Alwatan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 409
- 129
Mkuu SR mbona unanishangaza!
Kweli kabisa unaamini kuna "juju making money"?... Binafsi natafsiri kama ni kijana fisadi na ana ujasiri wa kifisadi haswa!
Kama ni hivyo mi naona niwatakie mjadala mwema. Maana sasa hivi wataibuka wapambe wa Rostam, Lowasa, Maranda na mafisadi wengine tunaowajua na kusema watu wao wametumia "juju" kutengeza pesa ndefu chapchap.
Afrika inahitaji strong institutions na sio strong men ili ipige hatua kimaendeleo, kama alivyosema mchangiaji hapo juu.