Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
- Thread starter
- #21
kwanini umeileta Jf kama hutaki kuweka mambo sawa? si ungekaa nayo moyoni au ungewatumia nduguzo......JF we dare to talk openly hio usiifanye bonge la ishu saaana hata docs za usalama zinawekwa JF sembuse hio......acha bana
sawa nimekusikia nitawatumia ndugu zangu!..thank you for the advice!.
god bless you!