Julio: Mimi ni mtu maarufu sana,sasa nagombea ukatibu mwenezi Dar

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
929
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba. Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa wa Dar ili apambane na maadui wote wa ccm na taifa kwa ujumla.

Chanzo:Radio uhuru-michezo leo.
 
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba.
Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa wa Dar ili apambane na maadui wote wa ccm na taifa kwa ujumla.
Chanzo:Radio uhuru-michezo leo.

ebu rudi chimbo uje kivingine!
 
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba.
Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa wa Dar ili apambane na maadui wote wa ccm na taifa kwa ujumla.
Chanzo:Radio uhuru-michezo leo.

Julio sasa aache kuendeshwa na Tumbo..wakuu tuanzishen team hapa Jf tumpe huyu mpiga kengere labda atatulia..
 
Jamaa kaanza kuchanganyikiwa..anatafuta ukuu wa wilaya nini?
 
lakin sababu ye Simba Jk atamchinjia baharini angekuwa yebo minziro hapo ingekuw swadakta

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha....kaka umenivunja mbavu. Tuombe radhi wana-Yanga mkuu, kwa hiyo Yanga ni magamba.
 
Kama jaa people, maji marefu na mpayukaji wa mtera ni wabunge basi hata jaruo aweza ongoza chama cha magamba. Sishangai!!!
 
Karne ya 21 bado no class wanaruhusiwa kugombea nafasi muhimu hivyo? labda kama anataka kueneza ugomvi na ufarakano.
 
Dah!..
Kweli njaa mbaya,Mungu tuhurumie watu tunataka kukomboa nchi wengine wanafikiria tumbo na kusafisha mafisadi.
 
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba. Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa wa Dar ili apambane na maadui wote wa ccm na taifa kwa ujumla.

Chanzo:Radio uhuru-michezo leo.

Huyu mtu hana akili timamu, ni mtu wa majungu daima. Huwezi kuwa na akili timamu ukagombania uongozi ndani ya CCM, lazima tu utakuwa na hitilafu fulani kichwani. Kwanza hakuwa mchezaji mzuri bali ni wa kawaida tu, ukocha wenyewe unamshinda eti anataka kugombea ukatibu wenezi wa Chama Cha Majambazi (CCM), huku sasa ndiyo inaonyesha jinsi alivyofilisika kiukocha anataka kutuibia mali za nchi kupitia tiketi ya CCM. Yaani huyu jamaa namfananisha na Koffi Olomide, akiona kaishiwa tu ataanzisha scandal fulani ili aandikwe ama atangazwe/kufanyiwa interview redioni ili jina lake liwe tinatajwa tajwa kila kukicha. Hana mpango huyu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom