Juliana Shonza Afunga Ndoa

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
3,344
2,530
Yule dada aliyehama chama chake cha awali na kwenda chama kingine Maarufu kama Juliana Shonza ameolewa na kufunga ndoa na bwana David...


Hongera zakee.

10408914_355247734649492_2158775947530862861_n.jpg

10624902_355247854649480_8089601047044654774_n.jpg
 
Hahaha...politics bana
If you're going to kick
authority in the teeth, you
might as well use two feet..hongera zake
 
Hongera zake.

Wenzake wanaitafuta hadi kwa waganga wa kienyeji wanaikosa.

May God bless her.
 
hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............
 
Alipendeza sana,
Hongera Juli, ukatulie huko, ndoa sio siasa
 
Back
Top Bottom