Jukwaa la watumiaji wa Blackberry..share tips and tricks

kuna yoyote ambaye amesha-upgrade bbOS 5 to 6 kwenywe bold 9700 anisaidie natakiwa kuwa na free space kiasi gani na ni mda gani depends with my internet connection naweza nkaifanya hiyo kitu?

kuna yoyote ambaye amesha-upgrade bbOS 5 to 6 kwenywe bold 9700 anisaidie natakiwa kuwa na free space kiasi gani na ni mda gani depends with my internet connection naweza nkaifanya hiyo kitu?

Inahitaji kama 80mb free space ili kuwa safe zaidi..pia unatakiwa kuidownload 6 oS kwenye computer yako ambayo ukubwa wake ina range from 150 to 180mb....kitendo cha ku uptodate huchukua more thn 30 minutes..note..lazima uwe na blackberry desktop manager

wakuu mimi mtumiaji wa Iphone lakini nilishakuwa na BlackBerry hivyo kuna hizi 'keygen' za applications za BlackBerry mnaeza kutumia kuCrack applications zilizoko kwenye hii list..

Here is a list of available keygens for blackberry apps (Updated)

mblware Keygen

BlackBook 2.0

FaceRate 1.0

ContactOrder 1.0

mblStats 1.0.2

mblVault 1.0.1

ShateItup 1.0 (Storm)

Toysoft keygens

AppClock 1.0.2/1.0.3

Ballz 1.0.3

BatteryInfo 1.1

BBPTable 1.0

BQuiet 1.1.2

BuzzOff 2.1

CalendarAppIcon 1.0.3

CallNotes 2.0.2

CallTools 3.0

DemoMaker 1.0

DIPCalc 1.0.1

FakeCall 2.0

GoFish 1.0.2

iamhere 1.0

iCalendar 1.2

Image Edit

KamaSutra 1.0.2

KoolSound 1.0

KoolSounds 2.0.1

LocationProfiler 1.1

Lucky7Slots 1.0.2

magicIcon 1.1

myCallLogs 3.0.1

myScheduleNFL 1.1

myStocks 1.0.8

NotNow 2.0

PictureDial 2.0

PictureDialer 1.1

PictureDialer 3.x

PictureID 2.3.6

ProfilerPro 1.0

RandomTones 2.0

SeaBattle 1.0

SendIt 1.0.2

SMSCounter 1.2

SMSPic 1.1

Shortcut Manager 1.0

SuperPower 1.2

SysInfo 0.5 (Strom)

TapOMania 1.0

TipCalc 1.0

VisualArts 2.0

VoiceMemo 1.0.1

WackOMole 1.0

All-in-one Keygen for some important soft (reputations to Brakelyn)

Addonis

BerryBuzz 2.x

BerryPopup

BerryScrol (Storm)

BerrySilent

Berryweather 1.x

Blink

Camera To Go 0.3

Fake Call v2

FancyCharacter 2.x

IntelliLaunch

Meterberry

Profiler Pro v1

TiggitMail 1.1.18.1

TinyAlarm

Quicklaunch

QuickPull pro 3.x

SafeBox 0.0.3

SmartAlert

WifiFileTransfer

Some games Keygens (reputations to Brakelyn)

Cliffed

Escape

Download application yeyote yenye trial alafu tumia keygen husika kuiCrack..nimeAttatch keygen 4 zenye uwezo wa kucrack application zilizopo kwenye list.. Run keygen husika alafu tumia BB Pin yako kuCalculate unlock code ya application yako.. enjoy....!

'when you go Mac, u never go Back'..!

Msaada hapa--nimedownload RepliGo reader na inaexpire in 3 days,kama kuna maujanja ya kupata activation code ili niendelee kuitumia pliz help..

Wakuu, Nimenunua Blackberry Storm 9530 ambayo imetolewa na Verizon, Tatizo ni kwamba inatumia line ya Vodacom pekee na nikiweka line ya Tigo au Airtel hairespond. Je tatizo ni nini hapa? Naomba kufahamishwa na kama haijawa unlock naomba njia za kuweza ku-unlock au kama naweza pata unlock code kwa mwenye nazo. IMEI ni 352109.03.348069 .3

Hiyo hakuna cha kuactivate..ukishasa save pin ya mtu kwe phonebook ya kawaida then unaingia kwene blackberry Messenger unabofya add contack then utalitafute jina unalotaka kuweka then click..fuata maelekezo
Jiribu hii ya kwangu 25397F19

Kaka samahani iyo huduma unaiactivate vip...

Ever wondered why your BB is moving slow? Every action on your BB is logged, which in time will slow your bb down...At least once a week, hold ALT key and press LGLG (the letters) while on your home screen. You will see the logs. Then click the Blackberry menu button and select "clear log" this keeps ur phone moving 100% faster...!NOW THIS IS A WORTHY BLACKBERRY BROADCAST..

Jamani mi ninayo BB 9530 smartphone yaani hata sina hamu ya kuitumia coz kuweka salio ni lazima nipige haikubali option ya ku-dial *105*digits#, vivyo hivyo kujua salio kwa *102#, Kuweka call barrier *35*0000# etc yaani option zinazoendana na hizo hai-respond badala yake unakuwa kama upiga voice call!

Pia nikitaka kujiunga na huduma ya internet ya Blackberry inanambia your device does not currently have any browser configuration service book entries. please contact your service provider to enable the browser on your device , nimejaribu kwenda ofisi ya tiGO huku Arusha lakini wameshindwa kunisaidia kabisa.

Mbaya zaidi nilitegemea nitakuta hata option ya call restriction kumbe hamna hiyo option yaani imenichosha naiwekeka tu ndani kama kabati maana sioni matumizi yake bora niendelee na Nokia yangu N72 tu.

Naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya kunisaidia hizo changamoto.

Natanguliza shukrani
Asante.

Mwenye maujanja kwenye hizo challenge please aniambie!!

Mimi nina BlackBerry touch 9550 ilikuwa inatumika usa nakampuni ya verizon sasa huwezi kutumia internet mpaka uwe na verizon interpriss pin je kuna jinsi yakufanya?

Baba ubaya hilo tatizo kama langu kuweka salio lazima unitumie!Net eti mpaka BB interpries Pin inanibore siyo siri nzuri BB 9550 Sphone!

Ivi nanikwamba BB 9700 bold huwa azipo compactible na adobe

wakuu mimi mtumiaji wa iphone lakini nilishakuwa na blackberry hivyo kuna hizi 'keygen' za applications za blackberry mnaeza kutumia kucrack applications zilizoko kwenye hii list..

here is a list of available keygens for blackberry apps (updated)

mblware keygen
blackbook 2.0
facerate 1.0
contactorder 1.0
mblstats 1.0.2
mblvault 1.0.1
shateitup 1.0 (storm)

toysoft keygens
appclock 1.0.2/1.0.3
ballz 1.0.3
batteryinfo 1.1
bbptable 1.0
bquiet 1.1.2
buzzoff 2.1
calendarappicon 1.0.3
callnotes 2.0.2
calltools 3.0
demomaker 1.0
dipcalc 1.0.1
fakecall 2.0
gofish 1.0.2
iamhere 1.0
icalendar 1.2
image edit
kamasutra 1.0.2
koolsound 1.0
koolsounds 2.0.1
locationprofiler 1.1
lucky7slots 1.0.2
magicicon 1.1
mycalllogs 3.0.1
myschedulenfl 1.1
mystocks 1.0.8
notnow 2.0
picturedial 2.0
picturedialer 1.1
picturedialer 3.x
pictureid 2.3.6
profilerpro 1.0
randomtones 2.0
seabattle 1.0
sendit 1.0.2
smscounter 1.2
smspic 1.1
shortcut manager 1.0
superpower 1.2
sysinfo 0.5 (strom)
tapomania 1.0
tipcalc 1.0
visualarts 2.0
voicememo 1.0.1
wackomole 1.0

all-in-one keygen for some important soft
(reputations to brakelyn)
addonis
berrybuzz 2.x
berrypopup
berryscrol (storm)
berrysilent
berryweather 1.x
blink
camera to go 0.3
fake call v2
fancycharacter 2.x
intellilaunch
meterberry
profiler pro v1
tiggitmail 1.1.18.1
tinyalarm
quicklaunch
quickpull pro 3.x
safebox 0.0.3
smartalert
wififiletransfer

some games keygens
(reputations to brakelyn)
cliffed
escape

download application yeyote yenye trial alafu tumia keygen husika kuicrack..nimeattatch keygen 4 zenye uwezo wa kucrack application zilizopo kwenye list.. Run keygen husika alafu tumia bb pin yako kucalculate unlock code ya application yako.. Enjoy....!

'when you go mac, u never go back'..!

thanks mate!!! I have been looking for keys now, i have got dem

wakuu naombeni maujanja, blackberry 9700 bold inakataa kuonyesha youtube, pdf files na vilevile inakataa ku access hotmail, mwenye maujanja please..

Ever wondered why your BB is moving slow? Every action on your BB is logged, which in time will slow your bb down...At least once a week, hold ALT key and press LGLG (the letters) while on your home screen. You will see the logs. Then click the Blackberry menu button and select "clear log" this keeps ur phone moving 100% faster...!NOW THIS IS A WORTHY BLACKBERRY BROADCAST..

Mkuu nimejaribu hii kitu na nimeona logs kibao lakini nikaogopa ku clear, please assure me kuwa sita futa apps za simu yangu mkuu.

Naomba kujua tofauti ya hizi simu zinazoitwa smart phone kama blackberry,i phone n.k.mbona kama zinamasharti sana sio kama simu nyingine zipo kama landline operator wanazi control kuliko mwenye simu

Ever wondered why your BB is moving slow? Every action on your BB is logged, which in time will slow your bb down...At least once a week, hold ALT key and press LGLG (the letters) while on your home screen. You will see the logs. Then click the Blackberry menu button and select "clear log" this keeps ur phone moving 100% faster...!NOW THIS IS A WORTHY BLACKBERRY BROADCAST..

Rejao,
Kumbe hata huku unatembeleaga.... mi nilifikiri ni kule kwenye si-hasa tu!...Thanx for your lesson

Back
Top Bottom