Jukwaa la wanawake (girls/ ladies forum)

hii sredi haina thamani kama dola za zimbabwe. mnashauriwa kutumia pombe kwa kiasi ili kuepuka kupost sredi za ajabu ajabu kama hizi.

asanteni kwa ushirikiano.

halafu pombe ikichanganywa na klorokwin inatibu nini vile?
 
du sasa tz kazi ipo , mara nimesikia waisilamu wanataka kujitenga na wakristo, mara tena nasikia wanawake wanataka kujitnga na wanaume....sasa si itafikia na walio kwenye ndoa nao wanataka kujitenga?
hivi hizi roho za kujitenga imetokea wapi? nakumbuka kipindi cha ujana wetu hatukuwa na roho za utengano kabisa, kila kitu tulifanya kwa kushirikiana tena kwa upendo kabisa.
 
Acheni tabia za kibaguzi . Mbona wanaume hawaleti sred za aina hii? Hili pendekezo halina mashilo Mods. Mara watakuja wanawake , wazee, vijana , Nccr, CDM ,etc .Halafu mwisho wa yote ni nini?
 
Acheni tabia za kibaguzi . Mbona wanaume hawaleti sred za aina hii? Hili pendekezo halina mashilo Mods. Mara watakuja wanawake , wazee, vijana , Nccr, CDM ,etc .Halafu mwisho wa yote ni nini?

mwisho itakuwa ni mtengano mfamaji na wengine tusiinteract nao. Lol!
Msamehe bure mtoa mada.
 
ha ha ha ha!
"unaniamkia unataka kuninyima nini" nimenukuu msemo wa zee moja hivi.
Haya handsomeboy mambo?
hapa sasa tutaelewana, mambo shwari tu kama mshahara wa benki. najaribu kutafta mtu akukamatie mwavuli ukitembea ili uspigwe na jua kabisa yaani, au unasemaje?
 
hapa sasa tutaelewana, mambo shwari tu kama mshahara wa benki. najaribu kutafta mtu akukamatie mwavuli ukitembea ili uspigwe na jua kabisa yaani, au unasemaje?

hapo umenena. Tena anifunike huku amenibeba mgongoni.
 
Kutokana na report za kiitelijensia zilizotufikia sisi marafiki wa modes ni kuwa 60% ya ID zenye kuashiria jinsia ya kike ni za miwanaume tena mingine ina mvi mpaka kwenye kope za macho na mustache wa masikio
 
kwahiyo mods wataomba passport/ids za watu ili wajue jinsia zao.....???, na Je hii itakuwa private forum kama livyo ya dini na ya wakubwa? you can never tell kwenye JF kama mtu ni mwanamke au mwanaume.. wewe mwaga hoja hapa hatuangalii mtu behind the hoja bali hoja zenyewe...

Nilitumai thread ingeligotea kwenye post hii!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom