Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
hao wahariri nao wasitake kutufanya tuamini kuwa makosa ni ya Marato peke yake. Mhariri ndiye mwenye mamlaka ya kutumia habari anayoletewa na mwandishi wake. Je, hao wahariri waliokubali kutumia habari ya uzushi nao wamechukuliwa hatua gani? Na hayo magazeti yaliyoandika habari hiyo nayo, yamewajibishwa vipi? Marato asifanywe bangusilo