JUKWAA LA VICHAA (Utani) LOL

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Hapa tupia utani umhusuo kijana. Nipo off leo, tired with job . .

Kichaa mmoja alikuwa amesimama ghorofani anakojoa chini. Alipopita Dr akastop kukojoa. Dr akajua amepona akamwuliza mbona umeacha kukojoa nlipokuwa napita chini? Kichaa: Nimeogopa kama ungevuta mkojo wangu ningeanguka!

Welcome
 
Back
Top Bottom