..... Jukwaa la siasa lime ni stress...

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
851
96
...najutia enda kule leo.... Im so frustrated...na BP yangu ipo juu naw...
Nisaidieni wana Chit chat..
 
he he he, mie naenda kule nimevaa helmet na miwani tinted
inasaidia point au pumba zisiingie kwa wingi.

Angalia watakubanika kama samaki sasa hivi.
 
he he he, mie naenda kule nimevaa helmet na miwani tinted
inasaidia point au pumba zisiingie kwa wingi.

Angalia watakubanika kama samaki sasa hivi.

...sijakomenti kitu kule...na hakyanani ningekoment ningeadhibiwa....
 
....hata katika game mtizamaji huwa na presha kuliko mchezaji...
U know.
 
Sijawahi!!!!

...aisee....washabikia timu gani kati ya Simba na Yanga...
Whichever side that u r... em niambie presha unayokua nayo endapo timu uipendayo imelala ...
Wafkiri presha unayokua nayo yafanana na wachezaji..!!??
 
Sijawahi kuwa na presha kwenye mambo kama hayo.
 
kule unatakiwa ukienda....hakikisha kwanza huna haja yoyote(maana unaweza kutoa ghafla)....then umeoga na kujipaka mafuta mwili mzima....umechana nywele....usifunge mkanda kiunoni....na uwe umekunywa maji ya kutosha....hii ndio siri nakupa....
 
Back
Top Bottom