Jukwaa la mmu lipo hatarini

Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.

Tena ile thread ya udaku ndio imeteka watu kwelikweli...
 
Kwa sie wazee wa kitufe cha "new posts" hatuoni umuhimu wa jukwaa,hasa kinachobamba ni topic husika,iwe MMU,CHIT CHAT,Siasa,Elimu,etc!kama ina mashiko ndio hapohapo!
 
Kwa sie wazee wa kitufe cha "new posts" hatuoni umuhimu wa jukwaa,hasa kinachobamba ni topic husika,iwe MMU,CHIT CHAT,Siasa,Elimu,etc!kama ina mashiko ndio hapohapo!
kumbe kuna kitufe kinachoonyesha new post
 
Back
Top Bottom