Jukwaa la mmu lipo hatarini

Kwaaaherini,
Watotoo weeetu.
Kwaherini,
Watotooo wetu.

Kloro punguza bange, Fynest acha kumendea wadada waliopo kwenye hii thread, Excellent nenda kalale, Kongosho achi na watu wengine wapost, we sijui Mbamba acha kuota mchana, huwezi pata mkare kama wewe sio mkare.

Msiponiona kesho mna bahati.

Lol! Mkare ntapata 2!
 
Lizy usilale bhana njo nikibembembeleze kwanza
 
Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.

MMM, itaendelea kuwepo kama kawaida, kwani huku Chit-Chat kuna nini cha maana?
 
Na wewe Lizzy mpaka mida hiyo ulikuwa unachat na hubby wangu ,,,la ndo maana siku hizi unyumba wa mafungu:A S-coffee:
Hehehehe, mama wa kwanza mi jana nimelala mapema kama kuku.Kama alichelewa jua ana kaPM mate kengine humu.
 
Haya majukwaa ni kama vyama vya upinzani ubongo. Vinang'ara kwa msimu. Msimu huu ni wa Chit Chat.
 
Back
Top Bottom