Jukwaa la mmu lipo hatarini

Hamna ban..mamod tunawapiga tu michanga ya macho. Kweli chit chat ina utamu wake!
unaweza kuandika matusi kichina au lugha yoyote{трахать}halafu wako poa
 
Rejao kule sirudi banaa...hauchelewi kugeuka sanamu au skeleton ukiingia kwenye ile thread muulize sijui nini jana kasahau kuoga, amekesha amekaa kwenye ile thread hadi asubuhi matokeo yake kakurupuka kutoka usingizini saa sita za mchana...:lol:
Mi jana nilishangaa inafika tisa usiku..ikabidi nikimbie fasta. Nimeibuka 12 nikashangaa watu niliowaacha macho bado wamo!
 
Tena unakuta wanakugongea LIKE kabisa! Najishangaa nimelikimbia jukwaa langu pendwa la siasa kwa sababu ya huku!!
huku hakuna maadui wa kisiasa,raha tupu
 
Lizzy aiba toothpick kwenye mkahawa wa PAW.

oops! kumbe nimeingia sredi siyo, samahani wajameni.
 
Kwaaaherini,
Watotoo weeetu.
Kwaherini,
Watotooo wetu.

Kloro punguza bange, Fynest acha kumenddea wadada waliopo kwenye hii thread, Excellent nenda kalale, Kongosho achia na watu wengine wapost, we sijui Mbamba acha kuota mchana, huwezi pata mkare kama wewe sio mkare.

Msiponiona kesho mna bahati.
So long. . .
 
Back
Top Bottom