Jukwaa La Lugha Linazingua Kinoma!

Arnold Ndosi

Member
Aug 14, 2012
65
3
Katika Majukwaa Yaliosinzia,Jukwaa Hili Limetia Fora. Hakuna Threads Mpya Na ata M2 akiweka Thread Hakuna Anaehangaika Nao.

Kwa Mwendo Huu 2tajifunza Nini? Kiukweli Mpaka Michosho.hasanteni Na Poleni wadau Wa Jukwaa Hili Lililosinzia Kama Kikongwe.
Threads Ninazoziona Ni Za Mashairi Ya Darasa La Tatu! Na Maswala Ya Kujifunza Lugha Za Hovyo!
 
Mkuu shughuli ni watu..............ni angalizo zuri...chukua hatua.........
 
Katika Majukwaa Yaliosinzia,Jukwaa Hili Limetia Fora. Hakuna Threads Mpya Na ata M2 akiweka Thread Hakuna Anaehangaika Nao.

Kwa Mwendo Huu 2tajifunza Nini? Kiukweli Mpaka Michosho.hasanteni Na Poleni wadau Wa Jukwaa Hili Lililosinzia Kama Kikongwe.
Threads Ninazoziona Ni Za Mashairi Ya Darasa La Tatu! Na Maswala Ya Kujifunza Lugha Za Hovyo!
Pole,wewe kama member unaweza ukaanza kwa kuliamsha.Anzisha thread au jibu thread za watu kama unafahamu wanachojadili au msaada unaoombwa.Pia unatakiwa kujua kwamba kuna vitu mtu anauliza unakuwa hujui jibu lake so huwezi tu kumjibu jibu ambalo si sahihi inabidi akija mtu mwenye ufahamu wa swala hilo anaweza mwelimisha mtu huyo.Pia si muda wote watu wako JF wengine ni wafanyakazi so mtu anapokuwa free au kupata muda atamsaidia mtu au kuchangia mada husika.Kwa upande wangu mi naliona liko active thread nyingi zenye kuuliza walau zimejibiwa kwa jibu walau moja.
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom