Jukwaa la katiba: Politic Bla! Bla!

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
wana JF mliopo mbali na ITV mjadala wa KATIBA umepamba moto kwani wajumbe wanaonesha nia ya hata kuingia mitaani ili kudai katiba mpya. Wajumbe wamewashauri jeshi la polisi kuweka silaha zao chini na kufuata nyuma ya wananchi ili kudai katiba mpya. Mzee Chipaka. Mwenyekiti wa CHADEA alipo jaribu kwasihi wajumbe wapunguze jazba wajumbe wamemzomea huku wakisema CCM! CCM! na Mr. Kibaba amemuokoa kwa jinsi alivyochemka.

Nawasilisha
 
Sasa hapo politic bla bla iko wapi?
 
Back
Top Bottom