Jukwaa la Katiba latangaza Maandamano ya amani nchi nzima

Nani awe chambo?,,Tangulia mbele wewe kibamba na wote viongozi wanaopinga muswada huu nasema viongozi na c wananchi wa kawaida kisha wengine watafuata.
 
Kwa hili nimeanza kuona dhamira ya dhati ya JUKWAA LA KATIBA..na nategemea Deus na wenzake ndio watakuwa mstari wa mbele kama ambavyo CDM uwa wanawaweka viongozi wake mbele....
 
Ninachowaomba tu kabla ya kwenda kwenye maandamano andikine kabisa wosia na muwaage wake zenu kuna uwezekano wengine wasirudi wazima..

Kwenye mapambano kuna kufa au kupona
 
Kwa hili nimeanza kuona dhamira ya dhati ya JUKWAA LA KATIBA..na nategemea Deus na wenzake ndio watakuwa mstari wa mbele kama ambavyo CDM uwa wanawaweka viongozi wake mbele....

Kwa hiyo wewe huwezi kujitokeza kwenye maandamano utakuwa unatupa update huku umejificha kwenye laptop yako?
 
wale ambao hawataandamana ni wale tu wanaoamini viongozi ni watakatifu na wanaakili kuliko wananchi na chochote wanachofanya ni sahihi.
 
Hili nalo halitafanyika!!!
Kibali cha maandamano kitakataliwa........2858
Kibamba atasema maandamano yameahirishwa!!.


Sio kwamba mimi ni pessimist, no, nachosema ni kwamba, watu wanatakiwa waandaliwe, sio kwa matamko, basi kuwe na organization ya hali ya juu sana....matamko hayatawapeleka watu barabarani....

CCM haielewi lugh ya amani.......itapendeza kama watu wakiingia barabarani baada ya organization ya hali ya juu na wajiandae kwa counter attack kutoka kwa polisi, na sio kukimbia baada ya bomu moja la machozi.

Wajifunze kutoika kwa machinga wa Mbeya!!:eyebrows:
 
Ninachowaomba tu kabla ya kwenda kwenye maandamano andikine kabisa wosia na muwaage wake zenu kuna uwezekano wengine wasirudi wazima..

Kwenye mapambano kuna kufa au kupona
poopy.gif
 
nashauri haya maandamano kama yataanzishwa yawe strategical kwa mipangilio inayoeleweka. Ikiwa na maana kwamba hata pale yatakapopigwa mabomu tuwe na jinsi ya kujipanga (regroup) katika muda mfupi. Na pia uwepo mfumo unaoeleweka for instant update ambao najua kulingana na technology ya sasa sio rahisi oppressors kuuzuia

kwanza tupewe mazoezi ya kivita na kuhimili hali ngumu na tatanishi...pili watuvutishe bangi yaaani risasi tuone kama maji tu
 
tafadhali mkuu chezo, punguza utani! Hili zoezi linahusu wazalendo (Tanzania) wote na sio suala la Deus Kibamba, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Zitto Kabwe, Lema, Annaniel Nkya nk peke yao, la hasha, linatuhusu sote!
Ujue hawa organizers wa maandamano wana address masuala muhimu kwa wananchi ambao wengi wetu ni waoga hivyo kupitia hapa tunaomba iwe sehemu ya kuwatia ujasiri ili wajitokeze.
kwanza tupewe mazoezi ya kivita na kuhimili hali ngumu na tatanishi...pili watuvutishe bangi yaaani risasi tuone kama maji tu
 
hahahahaha! shibe kitu kibaya sana umekaa katika computer unawachochea wenzako waandamane.Maandamano yatafanyika tu endapo yataruhusiwa vinginevyo hakuna wa kuingia barabarani wote waoga na wenye kuyafurahia maisha.Unawadanganya wenzako eti upo tayari kufa,kwa jaribio lipi uliwahi kufanya ili tuamini upo tayari kufa kwa ajili ya watz.Yakizuiwa huyo kibamba kama mtamuona.Punguzeni kupayuka
 
tuko pamoja tutahakikisha kinaeleweka huku Kasulu tumeyasubiri kwa hamu hayo maandamano ya ukomboz coz hawa MAGAMBA wametujeruhi sana na kuchezea UHAI wa watanzania. IKUMBUKWE WACHACHE TUTAUMIZWA KWA MASLAHI YA WENGI.
 
Nia tunayo na uwezo tunao,nadhani tatizo ni kuwa na nia tu basi kila kitu kitakuwa simple sana....Na naamini hii itakuwa ni next step.....kila kitu kina mwanzo na mwisho zaidi tukumbuke watu wamemchomoa gaddafi pale alipokuwepo so likianza hamna kurudi nyumba...
 
Back
Top Bottom