Jamani hata mainfii yanaliwaza ukiukoza udiwani au ubunge kama siyo uraisJukwaa hili wenye matatizo ya Mapenzi na mahusiano wasubiri kwanza tumalize jambo hili lililoko mbele yetu ni la muhimu sana na linatokea mara moja baada ya 5 years wakati kwenye malovee watu wanapendana kila siku ,wanaachana kila siku ..wanafanya ma infiii kila siku , Sawa kakakiiza
Tuko pamoja kama samaki na maji
Nomba tuwe waungwana na huku mtupie mambo mbona jukwaa la uchaguzi tanzania ndo story?Naogopa kuweka sled yangu kwakuwa yaweza isipate mchango nanisisaidiwe!!:sad:
pamoja kama ccm na ufisadi mazeeJukwaa hili wenye matatizo ya Mapenzi na mahusiano wasubiri kwanza tumalize jambo hili lililoko mbele yetu ni la muhimu sana na linatokea mara moja baada ya 5 years wakati kwenye malovee watu wanapendana kila siku ,wanaachana kila siku ..wanafanya ma infiii kila siku , Sawa kakakiiza
Tuko pamoja kama samaki na maji
Priority............ na vile vile ujwe kusoma alama za nyakati...........DO RIGHT THING AT RIGHT TIMENomba tuwe waungwana na huku mtupie mambo mbona jukwaa la uchaguzi tanzania ndo story?Naogopa kuweka sled yangu kwakuwa yaweza isipate mchango nanisisaidiwe!!:sad: