Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juice ya limau na asali inasaidia kupunguza mtu unene

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Sep 1, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,538
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
  (juice) ya limao na asali inasaidia kupunguza unene.
  Mnaweza pia kusoma hapa kwa maelezo zaidi.
  http://www.babyinfocenter.com/remedi...eight_loss.htm

  Uhalisia juu ya unene.
  Unene unasababishwa na mambo mengi yakiwemo
  • Tabia ya ulaji zaidi ya mwili unavyohitaji, mwili baada ya kuchukua hitajii lake huifadhi mabaki kama fat (mafuta) kadili unavyokula zaidi vyakula vya mafuta ndivyo unavyooongeza mafuta.
  • Kutofanya mazoezi ya kutosha
  • Mfumo wa umeng’enyaji chakula kutofanya kazi vizuri
  • Kula vyakula vinavyozozolotesha uharakishwaji wa mfumo wa umeng’enywaji kama maziwa au nyakati za usiku. au kupenda kunya maji ya baridi baada ya chakula N.k

  Asali na limao zote zinakemikali itayokusaidi kurahisisha umeng’enywaji kufanyika haraka hivyo utaweza kusikia njaa baada ya muda Fulani (huwenda ikawa ni mapema kuliko kawaida). Ikiwa utaendelea kula kila usikiapo njaa tiba hii haiwezai kukusaidia lolote.

  Nilazima wakti Fulani tumbo lako liwe
  tupu ili mwili utumie ziada ya chakula ulichohifadhi kama fat (mafuta).
  Pia juice ya limao na asali zote zinasaidia kuifanya fati iliyopo mwilini mwako kutumika, utakuwa unajisikia njaa zizuie kula kila mara pia zizuie kula vyakula nyenye fati nyingi kama chipsi nyama choma ya mbuzi , supu etc

  Faida nyingine ya juce ya limao na asali zinasaidia kuuwa bacteria ambao kwa namna moja au nyingie wanadhorotesha mfumo wa chakula na utoaji taka kufanya kazi vizuri. Kuvisaidia kufanya kazi vizuri kunya maji ya kutosha ikiwezekana ya vuguvugi.

  Hitimisho
  Tujiepushe kujiua kwa kujijengea kuwa na tabia ya kula vyakula vya mafuta bila kufanya kazi au mazoezi ambayo hupunguza mafuta mwilini. Zamani watu wengi walikuwa wanona unene ni sifa hata ukisia mtu akisema ‘umependeza umekuwa mnene’. Lakini ukweli ni kuwa unene umuweka mtu ktk mazingira hatarishi ya magonjwa malimabali ya viungo vya ndani kama Moyo, kuziba kwa mishipa ya damu, etc.

  Tafit zianaonesha kuwa mafuta mwilini ni kama vichaka vya virusi na bacteria mbalimbali kujificha inakuwa ngumu kwa chembe nyeupe za damu (ambazo hujulikana kama askri wa mwili) kufikia na kuwaua.
  Jiadhali na tabia hatarishi………punguza mafuta unapopika, usile vitu vingi vya sukari kwa siku, fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, juepushe kujaza tumbo unapokula acha nafasi.

  Asanteni. Nitapenda kusikia maoni
   
 2. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ingawa vizuri sana kama utatuwekea kipimo, yaani ratio ya asali kwa limau.
   
 3. J

  Jaydean Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NiMESIKIA PIA KUHUSU MAJI YA UVUGUVUGU,ASALI NA MDALASINI INASAIDIA PIA.NAOMBA MNIJULISHE ZAIDI.ASANTE
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,538
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
  juice ya limau glasi moja na Uchanganye na asali kijiko kikubwa cha kulia wali kimoja kunywa kutwa mara tatu kila siku kabla ya kula chakula. Yaani kunywa asubuhi,Mchana na Usiku kila siku jaribu kutumia hii dawa kama miezi 3 utaona matokeo yake .
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,956
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  MziziMkavu tunashukuru kwa haya mazuri!
  Mwenyenzi MUNGU na akupe upeo zaidi!
  Pamoja sana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,538
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
  Mkuu Jaydean

  Kupungua kwa uzito

  Wawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili

  ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili

  ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika

  mapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje

  ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko kimoja cha

  mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu kabla ya kulala.

  Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache, kuongeza

  hivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na

  wataalamu wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2013
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dr. Mehmet Oz na pseudoscience zako/
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,538
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
Loading...