Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
- Thread starter
- #21
Uko karibu na sawa, ni sharbati, ila kama unahisi imekaa kiarabu unaweza tu ukaita juisi. haikatazwi!
sawa mku
Uko karibu na sawa, ni sharbati, ila kama unahisi imekaa kiarabu unaweza tu ukaita juisi. haikatazwi!
Togwa ni pombe isiyokuwa na kilevi na kiingereza ni shandyjuice = togwa
thanx dia
Nope, Sharobati ni milkshake. Ni aina ya kinywaji kinachanganya juice na maziwa, au flavor ya matunda na maziwa.Inaitwa sharobati.
hayo ni maelezo si jina, usahihi bila shaka ni: SHARBAT !maji ya matunda!!!!!! au maji matamu, yote sawa
leo nimejifunza kuwa 'destination' maana yake ni 'vifiko'
ni juisi aina kiswahl labda kimiminika kitamu
juice kiswahili chake makange