Juhudi zilizotumika kukamata wauwaji wa watalii Arusha zitumike kwa Dr.Ulimboka

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Wale wauaji wa watalii ktk camp huko mikoa ya kaskazini wamepatikana,baadhi Mugumu-Serengeti na wengine Mwanza!Waziri mwenye dhamana Mh.E.Nchimbi ameonekana akiwa eneo la tukio,uwepo wake unaashiria kuwa toka tukio litokee amekuwa nje ya Bunge akifuatilia hatma ya Wauwaji hao wa watalii!...Kwa juhudi hiyo na moyo huo wa askari na Waziri Nchimbi tunaomba utumike pia ktk "Watekaji" na "Wauwaji" wa Dr.Ulimboka...muda na umakini uliochukua muda usiozidi wiki umefanikisha kupatikana kwa wauwaji wa Mtalii...pia jinsi Dr.Nchimbi alivopiga kambi Mugumu na Mwanza na kuacha vikao vya bunge kuhakikisha wauwaji wanapatikana kwa msaada wa kamanda Sirro ujidhihirishe kwa kupiga kambi Dar kuwapata "Watesi " wa Dr.Ulimboka
 
Nchimbi amefuatilia mauaji haya, kwa sababu watalii ni watu muhimu sana nchi hii. Ingelikuwa ni mauaji kama yale ya Nyamongo angeendelea kugonga meza bungeni ndiyoooooo!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom