Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,314
- 760
Nguvu ya uma bila msaa toka nje sio rahisi labda jeshi limgomee na kwa Tanzania msubiri 2015. Na NATO hawaji kwani hamwezi kulipa $3TrillionsKifo sio kitu kizuri hata mwenyenzi mungu nahamini haimpendezi, nashauri tumtoe kwa nguvu ya umma au katika box la kura, alafu tumwache ashughulikiwe na sheria za nchi, ukonga panamfaha sana pale kuwa makazi yake ya milele, sasa hivi nasikia yupo Australia anakula bata tu, ugali wa ukonga utamfaha sana huyu.